Harmonize anapojipima msuli

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Mwanaume kamili haogopi vita , tuna slogan yetu , get rich or die trying , mara nying sasa kumekuwa na hali ya kumshindanisha Harmonize na Nguli wa bongo Fleva Diamond Platnumz , na hii inachagizwa na kauli za Harmonize kuonyesha vinasaba vya kukubali
kushindanishwa huko.

,Hvi karbun Ibra alitoa wimbo akimshirikisha boss wake konde boy na wimbo ukawekwa Kwenye channel ya konde boy YouTube.
Diamond aliachia wimbo wa zuchu uitwao nisamehe kupitia channel ya zuchu ,
wimbo uliikimbiza channel ya harmonize mpak kufika number one trending....

masaa machache diaomond akaachia wimbo wa quarantine ambao uliburst world-wide na kukaa number one trending ndan ya masaa.
hivyo kuishusha Ngoma ya harmonize na ibra from number one to number three...
konde boy alipiga moyo konde na kuachia kichupa kikali Sana , fall in love ,

Target ikiwa ni kuitoa quarantine number one trending, lakn mambo yameenda ndivyo sivyo ,
Mafanikio makubwa ya fall in love imekuwa kufikia number 2 YouTube trending

Nafkr Harmonize inatakiwa ajue sasa Mond akitoa jiwe inabd asubir Kwanza lipoe .....
 
Huyo kifutu mamakonde chali mwambieni alime korosho tu ndio kimebaki
 
Kondeboy aache kutumiwa na watu ili kumshusha mond.
 
Hata akisubiri wimbo wa diamond upoe kwanza halafu akaachia wake diamond anaweza kuachia hapo hapo akapoteana tena
 
Ndiooo vijana waliobakia tz ..sikiliza muziki maisha yaendeleee.get rich get die huo ndo uanaume ...sasaa ww dume zima unakufa kifo cha mende kwa mtu.acha ushabiki ambao haukutambulishiii popote .
 
Acha game ichangamke, harmonize anajaribu kuwa mshindani wa Platnumz maana naona Ali Kiba keshakubali yaishe(japokuwa mashabiki wake hawataki).

Ila; Harmonize ana safari ndefu, kwasababu Diamond ukanda huu wa Afrika Mashariki nadhani hana mpinzani jamaa ni hakamatiki.
 
Kama kweli Konde anajishindanisha na Diamond atakufa kifo cha mende.

Kwa sababu hatowekeza kufanya biashara Ila atatumia nguvu kubwa kushindana.

Anaeshindana nae yeye hashindani na mtu Ila anafanya biashara.

Wakat yeye anawaza kushindana mwenzie anawaza aboreshe kipi ili biashara yake ishamiri
 
Diamond hajawahi penda wasanii wenzake. Kama kweli alimpenda Zuchu hakutakiwa kutoa ule wimbo wa Quarantine maana amesababisha dogo wimbo wake unapotea
 
We jamaa umeandika ili uwashindanishe sio? Acha uzwazwa wewe kila mmoja anafanya kitu kwa muda ambao unahisi ni sahihi kwake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond hajawahi penda wasanii wenzake. Kama kweli alimpenda Zuchu hakutakiwa kutoa ule wimbo wa Quarantine maana amesababisha dogo wimbo wake unapotea
Ata kwenye Quarantine Zuchu yupo mkuu halafu mbona Zuchu aliachwa tu akatoa nyimbo kama 3 peke yake , lengo watu wamfahamu na nafikiri wamemfahamu hivyo waende hatua nyingine
 
Ila konde boy sio mtu mzuri...diamond ajiangalie sana
I think Mond yupo aware pia , real konde boy yupo kinafiki Sana , no doubt adui wake mkubwa ni Mond , hii inachagizwa na wapambe wa konde boy , most of them ni haters wa diamond
 
Hata akisubiri wimbo wa diamond upoe kwanza halafu akaachia wake diamond anaweza kuachia hapo hapo akapoteana tena
Ko kilichobaki ni about fighting to the last man
 
Kama mond anavyosubili Kwa King Kiba

Kumbuka Chibunye alikua anafanya hivi kwa Kiba Mwisho wa siku Aliangukia pua na Akakoma kabisaa
 
Ali Kiba hajawahi ushindana na Diamond
 
Harminize namkubali sababu anapambana na mtu mbishi Diamond kimangoto sana. Anachekwa anadharauliwa ila bado anatoa ngoma hivyo hivyo. Mm ushauri wangu Harmonize aendelee kupambana hivyo hivyo. Ipo siku atatoa ngoma ambazo dunia nzima itampigia saluti. Diamond kipindi anapambana kimataifa alikua anajitoa ufahamu hadi akafahamika, nakumbuka alishavamia white party ya P square akiwakavalia minguo mwekundu akawa kituko afrika nzima. Alishasemwa domo kubwa ila leo hii hamna msanii wa kumfikia kimziki na kimaisha hapa bongo. Hivyo Harmonize namshauri apambane hadi kieleweke, ipo siku hata hao mashabiki wa Mondi watamkubali tu akibweteka kama mfalme wa mapambo hatakuja kufanikiwa kimziki.
 
Huo ndiyo ushauli makini
 
I think Mond yupo aware pia , real konde boy yupo kinafiki Sana , no doubt adui wake mkubwa ni Mond , hii inachagizwa na wapambe wa konde boy , most of them ni haters wa diamond
Kwani harmo ana mashabiki au hao Ni mashabiki wa kiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…