Harmonize anawekwa mjini na demu wa kizungu, aachana rasmi na Jackline Wolper

Kwani watu wakiachana,kuna ulazima gani wa kukashifiana?

Mastaa wa bongo bhana!
 
Kisa ni uchumi, hawa wanawake wa kichaga kuwa nao inabidi uwe zoba wa kiwango cha lami, maana hela zako atazipangia plan kama umempa kazi ya umeneja vile kumbe girlfriend tu.
 
"Ukisikia harufu ni harufu kwelikweli" (in I wish I could be Dr mwaka voice)

Siwaungi mkono mnaodhalilisha mama zetu na Dada zetu mitandaoni nawachukia sana nikisema nawachukia namanisha nawachukia kwelikweli I wish I could be ....
 
usiwafananishe mama zetu na hawa viumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…