Harmonize atoa ngoma ya kwanza tokea ajiengue WASAFI. Ashindwa kufikisha views 100K ndani ya masaa 10

Anafikishaje wakati wale mnaowalipis bundle wapo upande ule .... Yaani hi inadhihirisha kama kweli ni michezo yao wcb ....
 

Enheeeh

Halafu?

Kwani Bwana Liquid anasemaje?
 
Hatuingii, tukiingia tutamuongezea views.
 
Sio wimbo ni nyimbo na ni ya harmonize yupo na eddy kenzo Go to sleep eboooooh
Huyu jamaa n mda sasa tangia nikutane na comment zake kwenye uzi tofaut tofaut,,,

Kikubwa nilichogundua kwa huyu mchz n kwamba anaulimbukeni mwingi ndio unaompelekea kuandika v2 vya ajabu!!

Wakuu msameheni tu ndio madhara ya technology kuingia vijijini [emoji120]
 
Ashapiga 148K kwa sasa basi anafanya vizuri
 
Miziki ni biashara. Inaitaji MATANGAZO ya hali ya juu. WASAFI TV. RADIO FM 88.9. radio kwenye AzamTv. Mitandao yata startime. Zuku. azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…