Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
Ni Jeans fundi alikosea vipimo.Inayobana ni nini hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Jeans fundi alikosea vipimo.Inayobana ni nini hapo?
We na yeye Nani kakosea? Ujuaji mwingi mbele kiza,wimbo umoja,nyimbo nyimbo ni wingiSio wimbo ni nyimbo na ni ya harmonize yupo na eddy kenzo Go to sleep eboooooh
Ahaaaaah kafanye bisiness huku upaweziWe na yeye Nani kakosea? Ujuaji mwingi mbele kiza,wimbo umoja,nyimbo nyimbo ni wingi
Nyimbo za harmonize zinapigwa sana tu uku WCB kila siku Wasafi TV lazima niitazame.Natafuta utofauti wa wasafi fm/tv na clouds fm/tv siuoni kwa hili linaoendelea juu ya Harmo.
Au nawao Wcb wanataka kumpoteza harmo, Kama clouds walivyokuwa wanafanya?.
Harmo kugomea show zinazoandaliwa na wcb kunautofauti na diamond kugomea show zilizokuwa zinaandaliwa na clouds, au ndio kusema wcb nao wanawanyonya wasanii kama inavyosemekana kwa clouds?.
Marehem Ruge alikuwa akija hadharan anasema hana tatizo na msanii yeye kama yeye bali nimatatizo yakikazi kati ya msani na clouds, Je kuna utofauti nahivi anavyokuja Salam kusema wcb haina tatizo na harmo kama akifata taratibu na sheria zakujitoa wcb, huku ngoma zake zikiwa hazisikiki Tena wadafi fm/tv?.
Najaribu sasa hivi kutafuta utofauti wa clouds na wasafi Media kwenye kudili nawasanii hasa juu yahili la Harmonize siuoni.
Naamini katika ubepari kwahiyo wanachofanya clouds nikutafuta faida zaidi kama wanachofanya wasafi wala sio kosa, kibiashara ndio inavyotakiwa.
Kwa maana hiyo wote niwanyonyaji.
Msanii Harmonize aka Konde Boy ametoa ngoma mpya akiwa na Eddy Kenzo kutoka Uganda inayoitwa 'Inabana'. Ikumbukwe hii ngoma yake ya kwanza tokea akiwa msanii Solo, hivyo kionjo cha Wasafi kama ilivyozeoeleka hakipo, kinasikika kionjo cha Dully Sykes 'ooh nice, This is Serious'. Pia video amefanya kwa Hanscana.
Video mpaka sasa tokea iwekwe ina masaa 10 na imetazamwa mara 65,000 (65K)
Mimi nimependa hapa ' ....Fundi kakosea kuishona, hata kichwa hakiezi ingia ...INABANA...🎤🎼🎹🎶
Angalia kichupa hapa