Harmonize atoa ngoma ya kwanza tokea ajiengue WASAFI. Ashindwa kufikisha views 100K ndani ya masaa 10

Sio wimbo ni nyimbo na ni ya harmonize yupo na eddy kenzo Go to sleep eboooooh
Utakuwa under 18 wewe na hujamaliza hata la saba maana hata kilaza wa darasa la saba anajua kutofautisha wimbo (umoja) na nyimbo (wingi)
 

wimbo wa wcb huu, aliutoa audio kwanza
 
Ukiona hivyo ujue Diamond ashamroga
 
So muda ataanza sema analogwa...

Anyway.. No fighting.

Twamtakia kila lenye heri.
 
Noma kweli.
 

Attachments

  • ed.png
    61.2 KB · Views: 21
kwaiyo unataka tumuongezee views...... apambane na hali yake
 
Bora yeye hatukani wanawake kisa kupata views.
Umesikiliza kweli nyimbo?
Inabana maana yake nini?
.
Wewe uCCM umekuharibu sana weka mate nitelezeee
Nick minaj mbona anatukana sana Card B my queen mbona anatukana sana au hujuagi lugha ya Queen?
 
Huo mstari uliondika,inamaanisha yale yalee tuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Inama inuka,niingize,panua,teleza sijui.
Pppuuuuuuuh
 
Apambane....atafanikiwa tuu.

Mafanikio ya konde boy wala hayazuii ya wcb and vice versa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…