Muziki muruaWanasema 2020 ana mpango wa kugombea Ubunge huko umakondeni kupitia MACCM. Naona anajiandaa kwa kampeni ila hakuna kitu kingine cha zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muziki muruaWanasema 2020 ana mpango wa kugombea Ubunge huko umakondeni kupitia MACCM. Naona anajiandaa kwa kampeni ila hakuna kitu kingine cha zaidi.
Hapana kizuri chajiuza kibaya chajitembezaIla ni kama umeifurahia hivi.
Huenda akapata shavu hata huko Uvccm!Kwa huu wimbo sitashangaa Magufuli akimpa shavu la kuelewaleka Harmonize.
Si unamjua dingilai anapenda mapambio??? Yaani vile alivyosifiwa, si ajabu akampa ka cheo yule dogoEmbu ninong’oneze itatokeaje akawa Mkuu wa wilaya. [emoji848]
Cover mbovu zaidi ya kwangwaruJinga kweli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenifanya nicheke sana jinsi ulivyompuuza.Cover mbovu zaidi ya kwangwaru
Dogo anaharibu
Yeye sio level ya kumsifu Rais....Ana jina kubwa nao Africa
Hayo awaachie madogo.....Kila Siku nasema hate ufanikiwe vipi Nafasi ya Elimu itaonekana tu
Darasa la 7 Ni la Saba tu....hajui hata impact ya anachokifanya