Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
Elimu yake imesaidiaje wananchi wake?, hivi Jaguar kwenu anaonekana ana Elimu kweli, wasiona na elimu watakuaje kama Jaguar ana elimu?. Ndio sababu Kenya ni Failed state.Kwn jaguar alikuwa endosed na rais..halafu yule ni mtu na elimu yake, so usimfananishe jaguar na vitu vya kijinga..
Dakika kadhaa zilizopita baada ya kutoka katika " interview" na waandishi habari ambako aliwadharau, alienda katika kipindi cha TV cha 10 over 10, wakenya walijazana sana. Wakenya hata iweje, hawana ujanja mbele ya Bongo flavor, zaidi ya kulalamika.
Na wasanii wa Kenya, nani aliyewaangusha?, hizi akili utazikuta Kenya pekee, kuhisi kuhusika kuwanyanyua wasanii wa majirani wakati wasanii wao wakiandamana na kauli mbiu ya "Play Kenyan Music".Sasa ndio mumshauri akianza kupokewa na Wakenya asije akaharibu, sisi ndio tumewatengeneza wasanii wenu wote, hakuna msanii wenu yeyote aliyafaulu kuuaga huo umaskini wenu bila kunyanyuliwa na Wakenya, hivyo ashauriwe jinsi gani ya kuhusiana na watu, asahau Utandale na Umbagalla aanze kuwa na tabia za watu wa Oyster Bay na Masaki.
Na watu ndio wanaweza kumuweka mjini😛 😛
Bado ni mdogo, ndiyo maana na wewe umemuita dogo. Ashauriwe tu namna ya kuishi na watu. Kwa maana anaonekana mtu kati ya watu kwa sababu ya watu. Asiwadharau watu. Awapende watu na kuwaheshimu watu, basi ataendelea kuwa mtu mbele ya watu.
Elimu yake imesaidiaje wananchi wake?, hivi Jaguar kwenu anaonekana ana Elimu kweli, wasiona na elimu watakuaje kama Jaguar ana elimu?. Ndio sababu Kenya ni Failed state.
Unatumia makwapa kufikiria kama kawaida,Sasa ndio mumshauri akianza kupokewa na Wakenya asije akaharibu, sisi ndio tumewatengeneza wasanii wenu wote, hakuna msanii wenu yeyote aliyafaulu kuuaga huo umaskini wenu bila kunyanyuliwa na Wakenya, hivyo ashauriwe jinsi gani ya kuhusiana na watu, asahau Utandale na Umbagalla aanze kuwa na tabia za watu wa Oyster Bay na Masaki.
Nimekuuliza Jaguar amewafanyia nini watu wake hata kudhani kwamba Harmonize atashindwa kuwafanyia watu wake kama akichaguliwa kuwa Mbunge?.Heheee!!we kwani ilkua wataka awasaidieje hao watu..hebu nijuze..
Jagur kamzidi harmonize karibia kila kitu, unabisha?
LOL we jamaa banaSasa ndio mumshauri akianza kupokewa na Wakenya asije akaharibu, sisi ndio tumewatengeneza wasanii wenu wote, hakuna msanii wenu yeyote aliyafaulu kuuaga huo umaskini wenu bila kunyanyuliwa na Wakenya, hivyo ashauriwe jinsi gani ya kuhusiana na watu, asahau Utandale na Umbagalla aanze kuwa na tabia za watu wa Oyster Bay na Masaki.
Linganisha "crowd" ya Harmonize na hii ya Vera Sidika10/10 hata asipokuja mtu huaga watu wanaenda.so sijaelewa point yako
Linganisha "crowd" ya Harmonize na hii ya Vera Sidika
Na wasanii wa Kenya, nani aliyewaangusha?, hizi akili utazikuta Kenya pekee, kuhisi kuhusika kuwanyanyua wasanii wa majirani wakati wasanii wao wakiandamana na kauli mbiu ya "Play Kenyan Music".
Hata Magufuli pia ni wakenya wanyekumfanya ajulikane na kusifika duniani. Mtabaki na kupenda sifa za kijinga wakati" WB" ukitoa wito kwa wafadhili kutoikopesha Kenya kutokana na uchumi kuzidi kudorora.
Hahahaha, hii inaitwa Afro-Bongo, a.k.a Bongo flavor, it is an African brand now, no one can stop it.Sasa unapinga nn wewe...10/10 hujaa watu hata km hakuna msanii wa maana..
Wahesabu basi unipe idadi, manake naona unataka kubishana
Nimekuuliza Jaguar amewafanyia nini watu wake hata kudhani kwamba Harmonize atashindwa kuwafanyia watu wake kama akichaguliwa kuwa Mbunge?.
Jaguar na Harmonize walijulikana kupitia Muziki, katika hilo, Harmonize yupo juu sana, Jaguar hafikii hata nusu ya "level" ya mziki wa Harmonize.
Vipi kuhusu wasanii wa Kenya?, mbona wanazidi kulalamika kwamba hamuwapi "support"?, how stupid you Kenyans are to support Tanzanians musicians while your musicians are starving and remaining to be curtain raisers for Tanzanians.Ukwel ni kwamba, wasanii wa bongo bila ya kupitia kenya asahau kutoka kimziki...lazima wakenya wamkubali kwanza, na apige show kadhaa halafu ndio aende aendako...
Hta hamisa mobeto ile siku atakubalika na kupiga show nyingi kenya atakuwa mbele mbele..lkn sai zii...
Atabaki kuwa msanii wa bongo tu
Hahahaha, hii inaitwa Afro-Bongo, a.k.a Bongo flavor, it is an African brand now, no one can stop it.
Vipi kuhusu wasanii wa Kenya?, mbona wanazidi kulalamika kwamba hamuwapi "support"?, how stupid you Kenyans are to support Tanzanians musicians while your musicians are starving and remaining to be curtain raisers for Tanzanians.
Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
Unatumia makwapa kufikiria kama kawaida,
Wasanii wetu wanafanya show nchi kibao duniani,
Kwa hiyo mtu akiweka muda mdogo wa kufanyiwa interview ili awahi mambo yake yaliyomleta ni kosa?
Na mbona mumeshindwa kuwatengeneza hao wasanii wenu na nyimbo zao zisizovuka border?
Nowadays naona wameanza kufunguka akili japo ni wachache sio wengi, wameanza kufanya collabo na wasanii wa bongo ili angalau muziki wenu uvuke border.
Kama wazaire ambao ni magwiji wa muziki hapa Africa wanatambua Afro- bongo, Kenya lazima mtaitambua, kama mliweza kutambua na kusupport "Bongo flavor" pamoja na wivu wenu kwa Tanzania, lakini eti Leo bila aibu mnasema ndio mlotoa support kubwa kwa Bongo flavor, hahahaha.Heheeeee!!hakuna mtu anaitambua hyo afro bongo yako...
Harmonize mwnywe ndio kaanzisha juzi huo mchakato..
Na wala hakuita bongo, kadaisha afro east[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasaanii wabongo wenye wanaogopa kujitsmbulisha km watanzania..hungangania "east african musiacian"