Harmonize awakera Wakenya, afanya interview na wanahabari kwa dakika 3

Harmonize awakera Wakenya, afanya interview na wanahabari kwa dakika 3

Dah! Na vile nilikua nimeanza kumkubali huyu dogo dhidi ya Diamond, yaani yeye ndiye amekua habari ya mjini ameshawapita akina Mondi na Kiba, ameanza kuharibika mapema, angesubiri aogelee kwenye misifa walau hata kwa mwaka mmoja.
Au wanahabari wa Kenya walimbabaisha kwa kingereza, unajua pia kingereza huwatesa sana Watz wanaishia ze ze ze...nakumbuka Diamond akihojiwa sehemu kwa kingereza, jamaa aliteseka sana. Ndio matatizo ya hawa madogo wa Tandale, wanatoka kimzuki na kuuaga umaskini ila sasa wanakosa mtu wa kuwaongoza jinsi gani ya kuhusiana na watu.
Ana nini? Hana kitu, heshima anayopata kwa Sasa NI zile alizokuwa nazo WCB. MG wake wa Sasa ndiye anaye mwaribu. Eti brand
 
Aisee,kuna nchi watu wanapigana vikumbo kumuhoji mayonaise?
Hivi anaimba nini kwanza huyu mtu?
 
Afro east ni nn?
Alijibu vile yeye kama msanii anategengeneza biashara nchi zote awezi kusema afro bongo sababu mungeanza kulia lia ooo mbinafsi tunawateka kwa kutumia akili tunasema hii afro east lakin ukiimbia kinya utambuliki mpaka ushirikishe TZ kila kitu ukifanya unatumia ubongo sio unakurupuka tu ndio maana ikaitwa bongo maana yake uchemshe bongo lako hilo ili uweze kuishi
 
Mbna wanigeria hawasemi afro west..

Kikaragosi ambacho hakina akili. Hakina be wala te lakini kinatoka Ldc kinakuja middle income kutuonyesha madharau? Kwani yeye ndio nani? Tumeona wengi wakija kwa moto na kupotea. Muulize Mr. Nice alivyokuja kwa moto sasa hivi hayupo tena. Heshima na unyenyekevu ni vitu vya maana sana. Rose Muhando ni sisi tunamuhifadhi huku baada ya kufukuzwa kama mbwa na Watanzania wenzake. Sisi tunampenda na kumhufadhi Rose bila bugdha.
Bullshit
 
Back
Top Bottom