Harmonize awakera Wakenya, afanya interview na wanahabari kwa dakika 3

Kuimba anajua, lkn aache dharau za kijinga
Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
 
Kwn jaguar alikuwa endosed na rais..halafu yule ni mtu na elimu yake, so usimfananishe jaguar na vitu vya kijinga..
Elimu yake imesaidiaje wananchi wake?, hivi Jaguar kwenu anaonekana ana Elimu kweli, wasiona na elimu watakuaje kama Jaguar ana elimu?. Ndio sababu Kenya ni Failed state.
 
10/10 hata asipokuja mtu huaga watu wanaenda.so sijaelewa point yako
Dakika kadhaa zilizopita baada ya kutoka katika " interview" na waandishi habari ambako aliwadharau, alienda katika kipindi cha TV cha 10 over 10, wakenya walijazana sana. Wakenya hata iweje, hawana ujanja mbele ya Bongo flavor, zaidi ya kulalamika.
 
Sasa ndio mumshauri akianza kupokewa na Wakenya asije akaharibu, sisi ndio tumewatengeneza wasanii wenu wote, hakuna msanii wenu yeyote aliyafaulu kuuaga huo umaskini wenu bila kunyanyuliwa na Wakenya, hivyo ashauriwe jinsi gani ya kuhusiana na watu, asahau Utandale na Umbagalla aanze kuwa na tabia za watu wa Oyster Bay na Masaki.
Na wasanii wa Kenya, nani aliyewaangusha?, hizi akili utazikuta Kenya pekee, kuhisi kuhusika kuwanyanyua wasanii wa majirani wakati wasanii wao wakiandamana na kauli mbiu ya "Play Kenyan Music".

Hata Magufuli pia ni wakenya wanyekumfanya ajulikane na kusifika duniani. Mtabaki na kupenda sifa za kijinga wakati" WB" ukitoa wito kwa wafadhili kutoikopesha Kenya kutokana na uchumi kuzidi kudorora.
 
😛 😛
Bado ni mdogo, ndiyo maana na wewe umemuita dogo. Ashauriwe tu namna ya kuishi na watu. Kwa maana anaonekana mtu kati ya watu kwa sababu ya watu. Asiwadharau watu. Awapende watu na kuwaheshimu watu, basi ataendelea kuwa mtu mbele ya watu.
Na watu ndio wanaweza kumuweka mjini
 
Heheee!!we kwani ilkua wataka awasaidieje hao watu..hebu nijuze..
Jagur kamzidi harmonize karibia kila kitu, unabisha?
Elimu yake imesaidiaje wananchi wake?, hivi Jaguar kwenu anaonekana ana Elimu kweli, wasiona na elimu watakuaje kama Jaguar ana elimu?. Ndio sababu Kenya ni Failed state.
 
Sasa ndio mumshauri akianza kupokewa na Wakenya asije akaharibu, sisi ndio tumewatengeneza wasanii wenu wote, hakuna msanii wenu yeyote aliyafaulu kuuaga huo umaskini wenu bila kunyanyuliwa na Wakenya, hivyo ashauriwe jinsi gani ya kuhusiana na watu, asahau Utandale na Umbagalla aanze kuwa na tabia za watu wa Oyster Bay na Masaki.
Unatumia makwapa kufikiria kama kawaida,
Wasanii wetu wanafanya show nchi kibao duniani,
Kwa hiyo mtu akiweka muda mdogo wa kufanyiwa interview ili awahi mambo yake yaliyomleta ni kosa?
Na mbona mumeshindwa kuwatengeneza hao wasanii wenu na nyimbo zao zisizovuka border?
Nowadays naona wameanza kufunguka akili japo ni wachache sio wengi, wameanza kufanya collabo na wasanii wa bongo ili angalau muziki wenu uvuke border.
 
Heheee!!we kwani ilkua wataka awasaidieje hao watu..hebu nijuze..
Jagur kamzidi harmonize karibia kila kitu, unabisha?
Nimekuuliza Jaguar amewafanyia nini watu wake hata kudhani kwamba Harmonize atashindwa kuwafanyia watu wake kama akichaguliwa kuwa Mbunge?.

Jaguar na Harmonize walijulikana kupitia Muziki, katika hilo, Harmonize yupo juu sana, Jaguar hafikii hata nusu ya "level" ya mziki wa Harmonize.
 
Sasa ndio mumshauri akianza kupokewa na Wakenya asije akaharibu, sisi ndio tumewatengeneza wasanii wenu wote, hakuna msanii wenu yeyote aliyafaulu kuuaga huo umaskini wenu bila kunyanyuliwa na Wakenya, hivyo ashauriwe jinsi gani ya kuhusiana na watu, asahau Utandale na Umbagalla aanze kuwa na tabia za watu wa Oyster Bay na Masaki.
LOL we jamaa bana
Mlimfata huko mitaani kama mnavyofata parachichi mbeya na kuzibrand?

Walianza kuheat Tanzania kwanza ndio mkawasikia huko na sio ninyi tu bali duniani kote, kama ninyi hodari wa kutengeneza watu mnafeli wapi kuwatengeneza wa nyumbani kwenu wawe mastaa?
 
Ukwel ni kwamba, wasanii wa bongo bila ya kupitia kenya asahau kutoka kimziki...lazima wakenya wamkubali kwanza, na apige show kadhaa halafu ndio aende aendako...

Hta hamisa mobeto ile siku atakubalika na kupiga show nyingi kenya atakuwa mbele mbele..lkn sai zii...
Atabaki kuwa msanii wa bongo tu
Na wasanii wa Kenya, nani aliyewaangusha?, hizi akili utazikuta Kenya pekee, kuhisi kuhusika kuwanyanyua wasanii wa majirani wakati wasanii wao wakiandamana na kauli mbiu ya "Play Kenyan Music".

Hata Magufuli pia ni wakenya wanyekumfanya ajulikane na kusifika duniani. Mtabaki na kupenda sifa za kijinga wakati" WB" ukitoa wito kwa wafadhili kutoikopesha Kenya kutokana na uchumi kuzidi kudorora.
 
Sasa unapinga nn wewe...10/10 hujaa watu hata km hakuna msanii wa maana..

Wahesabu basi unipe idadi, manake naona unataka kubishana
Hahahaha, hii inaitwa Afro-Bongo, a.k.a Bongo flavor, it is an African brand now, no one can stop it.
 
Santa sana...lkn bado kachakazwa katika mambo mengi tu na jaguar..
Nimekuuliza Jaguar amewafanyia nini watu wake hata kudhani kwamba Harmonize atashindwa kuwafanyia watu wake kama akichaguliwa kuwa Mbunge?.

Jaguar na Harmonize walijulikana kupitia Muziki, katika hilo, Harmonize yupo juu sana, Jaguar hafikii hata nusu ya "level" ya mziki wa Harmonize.
 
Ukwel ni kwamba, wasanii wa bongo bila ya kupitia kenya asahau kutoka kimziki...lazima wakenya wamkubali kwanza, na apige show kadhaa halafu ndio aende aendako...

Hta hamisa mobeto ile siku atakubalika na kupiga show nyingi kenya atakuwa mbele mbele..lkn sai zii...
Atabaki kuwa msanii wa bongo tu
Vipi kuhusu wasanii wa Kenya?, mbona wanazidi kulalamika kwamba hamuwapi "support"?, how stupid you Kenyans are to support Tanzanians musicians while your musicians are starving and remaining to be curtain raisers for Tanzanians.
 
Heheeeee!!hakuna mtu anaitambua hyo afro bongo yako...
Harmonize mwnywe ndio kaanzisha juzi huo mchakato..
Na wala hakuita bongo, kadaisha afro east[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wasaanii wabongo wenye wanaogopa kujitsmbulisha km watanzania..hungangania "east african musiacian"
Hahahaha, hii inaitwa Afro-Bongo, a.k.a Bongo flavor, it is an African brand now, no one can stop it.
 
Sai kuna vijana wadogo wanapata air wave vizuri tu..
Na wakenya nawaomba waendelee hvo hvo, mtakoma..tv shows nyingi siku hz wanapiga magoma yao mpka club..
Vipi kuhusu wasanii wa Kenya?, mbona wanazidi kulalamika kwamba hamuwapi "support"?, how stupid you Kenyans are to support Tanzanians musicians while your musicians are starving and remaining to be curtain raisers for Tanzanians.
 
Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko

Duuu, kumbe ni wa '94. Bado sana. Ni kinda tu. Bado ana muda wa kufanya vibweka vingi tu. Kwa wazazi serious huyu akija kuchumbia kwako unamwambia kura bado hazijatosha. subiri muhura mwingine.
😛 🤣 🙃
 
Unatumia makwapa kufikiria kama kawaida,
Wasanii wetu wanafanya show nchi kibao duniani,
Kwa hiyo mtu akiweka muda mdogo wa kufanyiwa interview ili awahi mambo yake yaliyomleta ni kosa?
Na mbona mumeshindwa kuwatengeneza hao wasanii wenu na nyimbo zao zisizovuka border?
Nowadays naona wameanza kufunguka akili japo ni wachache sio wengi, wameanza kufanya collabo na wasanii wa bongo ili angalau muziki wenu uvuke border.

Hivyo viinchi vya LDC wenzenu huwa wanakwenda wakiwa bado wanaanza kama wamefulia, ni baada ya kutua Kenya middle income ndio wanaanza kupiga hela ya maana.
Wote hao walikua maskini sana huko Tandale na Mbagalla na mabanda ya huko, ni kawaida mlivyo maskini huwa hamuwapi hela za maana licha ya kuwashabikia, nakumbuka mkiiba hata cheni za Diamond, hivyo hamna cha maana hupata kwenu, lakini wakija huku basi.
Kuna kipindi Mondi alisemekana kumhujumu Kiba kwenye show za huku kisa wivu wa Kitanzania.
Wasanii wenu hataa wale wa zamani wakrudi Bongo hufulia sana, ila wakipata bahat ya kuja Kenya wananyanyuka, nakumbuka hata akina Mr. Nice
 
Heheeeee!!hakuna mtu anaitambua hyo afro bongo yako...
Harmonize mwnywe ndio kaanzisha juzi huo mchakato..
Na wala hakuita bongo, kadaisha afro east[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wasaanii wabongo wenye wanaogopa kujitsmbulisha km watanzania..hungangania "east african musiacian"
Kama wazaire ambao ni magwiji wa muziki hapa Africa wanatambua Afro- bongo, Kenya lazima mtaitambua, kama mliweza kutambua na kusupport "Bongo flavor" pamoja na wivu wenu kwa Tanzania, lakini eti Leo bila aibu mnasema ndio mlotoa support kubwa kwa Bongo flavor, hahahaha.

Sikiliza mzaire hapa akitoa heshima kwa "Afro- bongo"
 
Back
Top Bottom