joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwahiyo mnakubali kwamba mnawathamini zaidi watanzania kuliko wakenya katika muziki?Sai kuna vijana wadogo wanapata air wave vizuri tu..
Na wakenya nawaomba waendelee hvo hvo, mtakoma..tv shows nyingi siku hz wanapiga magoma yao mpka club..
Shida yenu mna chuki mno na wasanii wenu ndio maana muda wote huwa mnashoboka na wasanii wetu,Hivyo viinchi vya LDC wenzenu huwa wanakwenda wakiwa bado wanaanza kama wamefulia, ni baada ya kutua Kenya middle income ndio wanaanza kupiga hela ya maana.
Wote hao walikua maskini sana huko Tandale na Mbagalla na mabanda ya huko, ni kawaida mlivyo maskini huwa hamuwapi hela za maana licha ya kuwashabikia, nakumbuka mkiiba hata cheni za Diamond, hivyo hamna cha maana hupata kwenu, lakini wakija huku basi.
Kuna kipindi Mondi alisemekana kumhujumu Kiba kwenye show za huku kisa wivu wa Kitanzania.
Wasanii wenu hataa wale wa zamani wakrudi Bongo hufulia sana, ila wakipata bahat ya kuja Kenya wananyanyuka, nakumbuka hata akina Mr. Nice
Kama wazaire ambao ni magwiji wa muziki hapa Africa wanatambua Afro- bongo, Kenya lazima mtaitambua, kama mliweza kutambua na kusupport "Bongo flavor" pamoja na wivu wenu kwa Tanzania, lakini eti Leo bila aibu mnasema ndio mlotoa support kubwa kwa Bongo flavor, hahahaha.
Sikiliza mzaire hapa akitoa heshima kwa "Afro- bongo"
Kwahiyo mnakubali kwamba mnawathamini zaidi watanzania kuliko wakenya katika muziki?
Kama imeshafika "DRC" where is the centre of African Rhumba, ninyi wakenya lazima muikubali tu, "Kenya is negligible in African music industry"Heheeee!!hyo afro bongo ndio naanza kuiskia kwako
Ninazingumzia kuwathamini wanamziki na muziki wa Kenya. Ninyi wanamuziki mnaowathamini ni watanzania na Nigerians, sio wakenya.Tunathamini mziki mzuri...ndio manake wasanii mpka wa kutoka naija wanakubali kama show za kenya zinalipa
Shida yenu mna chuki mno na wasanii wenu ndio maana muda wote huwa mnashoboka na wasanii wetu,
Hivi huwa huoni wasanii wetu wanavyojaza show zao popote pale?
Kwenu Mbona hamuwapi support wasanii wenu?
Kingeni mbona wasanii wenu ni nadra sana kuwa nominated kwenye international Awards mbalimbali na hata ikitokea bahati mbaya kuwa nominated huwa hawachukui,
Wasanii wenu wakifanya collaboration na wasanii wetu hata kama nyimbo ni mbaya lazima itafanya vizuri tu,
Videos zao wakitoa hamview hata ndio maana wasanii wenu Wakifikisha views m 1 wanafurahia mno wakati huku kwetu ni kitu cha kawaida sana ,
Wako wapi wasanii wenu wale waliokuwa wanafanya vizuri 2000s mbona mumeshindwa kuwasaidia hao?
Ni unafiki wa hali ya juu kushoboka na vya jirani huku nyumbani kwako ukijifanya hapakuhusu,
Nakumbuka wimbo wa Naiboi ule wa 2 in 1 wasanii wenu kibao walikataa kurekodi zile viclip fupi fupi kwa ajili ya kutengenezea video lakini wasanii wa bongo walimpa support kibao kwa kurekodi viclip, hapa utajiuliza nimemfahamu vipi naiboi, Nilikutana nae Dar miezi michache iliyopita.
Charity begins at home. 😂😂😂
”East Africa is arguably the most receptive spot for music. In East Africa, they listen to hip-hop, they listen to their local music, they also listen to music from the West of Africa, they listen to pop. So in recent times, asides from when I do festivals or branded shows in the UK or wherever,” Eazi said.Kwahiyo mnakubali kwamba mnawathamini zaidi watanzania kuliko wakenya katika muziki?
Ninazingumzia kuwathamini wanamziki na muziki wa Kenya. Ninyi wanamuziki mnaowathamini ni watanzania na Nigerians, sio wakenya.
Hehehe Umekimbilia kujificha kwa wasanii wetu, kitu hukijui ni kwamba Kenya hatuendeshwi kwenye zizi moja kama kondoo, hatuna mifumo ya kijinga kama ujamaa, eti nchi yote mnaelekezwa kipi cha kupenda na kipi muache, sisi kila mtu anaa uhuru wa kuchagua, ndio maana unaona tunaskliza miziki ya kote, iwe Nigeria, Bongo au hata Ulaya, yaani ukifanya vizuri tunakupokea.
Kwani yeye ndiye kaleta slums au njaa Kenya?Umasikini wako usi kufanye kuwa na mawazo mgandoKikaragosi ambacho hakina akili. Hakina be wala te lakini kinatoka Ldc kinakuja middle income kutuonyesha madharau? Kwani yeye ndio nani? Tumeona wengi wakija kwa moto na kupotea. Muulize Mr. Nice alivyokuja kwa moto sasa hivi hayupo tena. Heshima na unyenyekevu ni vitu vya maana sana. Rose Muhando ni sisi tunamuhifadhi huku baada ya kufukuzwa kama mbwa na Watanzania wenzake. Sisi tunampenda na kumhufadhi Rose bila bugdha.
Aaah wapi,Hehehe Umekimbilia kujificha kwa wasanii wetu, kitu hukijui ni kwamba Kenya hatuendeshwi kwenye zizi moja kama kondoo, hatuna mifumo ya kijinga kama ujamaa, eti nchi yote mnaelekezwa kipi cha kupenda na kipi muache, sisi kila mtu anaa uhuru wa kuchagua, ndio maana unaona tunaskliza miziki ya kote, iwe Nigeria, Bongo au hata Ulaya, yaani ukifanya vizuri tunakupokea.
Huna hoja tulia unajiaibisha bure hapa,Mk254...watanzania wenyewe wanajitambua...show km tano za bongo, ni sawa na moja tu ya kenya...ndio manake wanangangania kuja kenya..
Msanii wa tanzania akipata nafasi ya kuja kenya kw ajili ya interview na show...
Huaga ywajua keshatusua na kujitia anajua kingereza kingi
Huna hoja tulia unajiaibisha bure hapa,
Ni Bora ungetulia tu.
Hebu tafuta 10/10 ya harmonize sijui ya 2016/2017 utaelewa ninachozungumziaSijakupata vizuri
Hahahaha, kwahiyo mnajisifia kwa kuwalipa wanamuzi wa Nigeria na Kenya pesa mingi, wakati wanamziki wenu wa Kenya hamuwalipi pesa yoyote hadi wanaandamana?, ama kweli ninyi ni vichaa, hata London hawalipwi pesa nyingi kama mbavyowalipa Kenya, kwahiyo wakenya na Gambia wanapesa kuliko watu wa London?, Hahahaha, washamba sana ninyi.Kenya watu wanapenda vitu vizuri..watu wana hela, waki kukubali ushatusua ndugu..wacha kujitoa ufahamu, wasafi wenyewe wanalitambua hilo...
Sidhani km kina show wasafi wata organize wasahau kuileta kenya..wanajua kwanm..
”East Africa is arguably the most receptive spot for music. In East Africa, they listen to hip-hop, they listen to their local music, they also listen to music from the West of Africa, they listen to pop. So in recent times, asides from when I do festivals or branded shows in the UK or wherever,” Eazi said.
”Nobody is going to pay you $100,000 in Nigeria to do a show, or even $60,000 to come and jump on stage for a set. But you can easily get that money by walking into Kenya or walking into Gambia. So those places should be the ones I focus on. Also, when we dropped Keys to the City, which was not a single and we saw the views on YouTube, the bulk was from East Africa,” he added.
He went on to say that he would definitely perform in Kenya than his country Nigeria given the sweet deals Kenyans offer. The comments comes after Kenyan artists protests that DJs and presenters have given international artists priority over them.
”It is the only place that I can perform without a curated set. If I perform in Nigeria or UK it’s a curated set. But if I perform in East Africa, I can perform every song from Major Lazer to Lotto Boyz to Lady Leshurr, and all the songs on Accra to Lagos. All, I can perform all the songs before that project,” he said.View attachment 1247054
Kabla ya kuropoka kishabiki Ili ujipe matumaini hakikisha kwanza Umefanya kautafiti angalau,Kwhyo ni uongo
Mla jaluoHehehe Umekimbilia kujificha kwa wasanii wetu, kitu hukijui ni kwamba Kenya hatuendeshwi kwenye zizi moja kama kondoo, hatuna mifumo ya kijinga kama ujamaa, eti nchi yote mnaelekezwa kipi cha kupenda na kipi muache, sisi kila mtu anaa uhuru wa kuchagua, ndio maana unaona tunaskliza miziki ya kote, iwe Nigeria, Bongo au hata Ulaya, yaani ukifanya vizuri tunakupokea.
Kwanini wanamuziki wenu wanafanya maandamano kupinga mziki wa Bongo usipewe "air time?"Hku sisi hatuna akili za kijamaa..kuna mtu ukiweka bongo fleva anasiki kutapika, lkn ukimuekea reggea anaruka ruka hadi raa..
So kenya kuna diversity, wala sio kukomalia na akili za kijamaa...km mziki wako ni mzuri, tunakukubali tu