Harmonize awakera Wakenya, afanya interview na wanahabari kwa dakika 3

Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
Pamoja na hicho Kiingereza chenu cha ugoko lakini bado mzungu anawaita "nyani".

Vile mnavojing'ang'aniza kuongea ung'eng'e huku mzungu anawachora kwa mbali anasema "hiiiiiiiiii......ona hao nyani waliostaarabika".
 
Nimekuambia sisi huku hatuchezi nyimbo kwa kufuata mfumo wa kuelekezwa kiakili, tunafuata ubora maana pia hela tunazo, ndio maana wasanii wenu ili aage umaskini lazima ajaribu kila namna kusikika kwenye soko la Kenya, maana huko Bongo ni msoto tu.
Pumba tupu
 
Jiulize kwnn wasafi festival ilifanywa kenya wala sio uganda, rwanda, south sudan, somalia, congo
Hela mnazo ziko wapi? ...kibera slums???...tumewashika pabaya kimziki....subirini muda uamue....ingizeni mikia yenu kwenye makalio kwa sasa
 
Huko Kenya mkuu hata hawapostiani, kushare content ya msanii mwenzake hakuna, hivi huwa wana invents kubwa kubwa za kisanii kama hawa madrama Queens and King's wetu kweli? Mara birthday mara baby shower mara harusi fake yaani huu udambu-udambu wanao kweli? Drama kama hizi ndio zinanogesha entertainment ya Tanzania na kuifanya ixidi kua juu Africa
Ahhahaha watoe wapi mkuu,
Ukabila upo kila kona ya kenya hadi kwenye music Industry,
Wasanii wao hawajui kujibrand kabisa,
Hawajui kuwa harmo kutembea na mabodyguard wengi ni kutengeza brand ili apige mpunga zaidi.
 
Wasanii wao hawavuki border hadi wafanye collabo na wasanii wa bongo.
Bahati mbaya hata ukiniuliza msanii wao mkubwa ni nani sina jibu 😂

Kuna wimbo mmoja tu niliupenda na siku zote nilijua ni wa mbongo mpaka nilivyohudhuria kwenye event moja nikamuuliza mshkaji aniambie niu download ndio nikajua kumbe wa mkenya, unaitwaje hata sijui lyrics zake ndio najua 'uko sawa nao, wote malaika na mabawa yao, wote wanakuiga we ndo mama yao...'
 
LOL mkuu hiyo ndio topic huko kenya kwa sasa 😂 Eti wanadiscuss mabodgad wa harmo, hawajui kama huku anatembea na convoy ya kibabe

Wasanii wao wamezoea kuchangamana na wauza dagaa huko magengeni halafu wanategemea kuna siku watafika levels za kina dai
 
Kazi yao ni kuiga iga ndio maana muziki wao Hakuna kitu mara waige bongo fleva mara waige naija 😂😂😂
 
LOL mkuu hiyo ndio topic huko kenya kwa sasa 😂 Eti wanadiscuss mabodgad wa harmo, hawajui kama huku anatembea na convoy ya kibabe

Wasanii wao wamezoea kuchangamana na wauza dagaa huko magengeni halafu wanategemea kuna siku watafika levels za kina dai
Yeah hawajui kuwa msanii ni kujibrand ili thamani yako iendelee kuongezeka mara dufu😂😂😂
 
LOL kwenye comments wanasema wasanii wao wakubwa wanapishana nao huko mitaani na hakuna mtu anashoboka nao yaani wanaishi in simplicity...

Nimesoma akili zao nikajua basi ndio maana sanaa yao haikui, eti wanashangaa wabongo wanavyokua mad wakiwaona celebrities wao, nikasema hapa kazi ipo 😡
 
Kujibrand muhimu sana mkuu,
Na ndio kitu wasanii wao walichokosa.
 
A wapi...
Mfano nandi tu, kajipendekeza kenya hata haikuchukua mda..sai ana mafanikio size yake...juzi tu kachukua tuzo marekani..

Wakati alipojifungia hko tanzania, alikomaa na tuzo za ndani tu
Wasanii wao hawavuki border hadi wafanye collabo na wasanii wa bongo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti unajifanya humjui aliyeuimba huo wimbo...wakati ulitesa sana tanzania..mpka watoto wanautambua..
Bahati mbaya hata ukiniuliza msanii wao mkubwa ni nani sina jibu [emoji23]

Kuna wimbo mmoja tu niliupenda na siku zote nilijua ni wa mbongo mpaka nilivyohudhuria kwenye event moja nikamuuliza mshkaji aniambie niu download ndio nikajua kumbe wa mkenya, unaitwaje hata sijui lyrics zake ndio najua 'uko sawa nao, wote malaika na mabawa yao, wote wanakuiga we ndo mama yao...'
 
Yani mimi nimuone khaligraph nianze shobo, kwan ywanilisha...
LOL kwenye comments wanasema wasanii wao wakubwa wanapishana nao huko mitaani na hakuna mtu anashoboka nao yaani wanaishi in simplicity...

Nimesoma akili zao nikajua basi ndio maana sanaa yao haikui, eti wanashangaa wabongo wanavyokua mad wakiwaona celebrities wao, nikasema hapa kazi ipo [emoji35]
 
Mama yangu..nandi si namjua juzi baada ya kuja kenya kuamua kujitoa gizani...
Hao wengine namtambua vanessa tu
Vanessa, Mimi Mars, Maua Sama, Nandy hawa ni wasanii wa kike wakubwa kwa sasa ukanda huu na wala sio wcb
 
Na usikwepe..manake uliweka pachiko harmonize ana perform gambia, ndipo nikakwambia wasafi tu ndio wana uwezo huo kw sababu walishapitishwa kenya na kukubaliwa zamani..so waende kokote tu kw sasa..wapo huru, lkn hao vikaragosi wengine wasipojitoa gizani na kuja kenya, wasahau kuvuka boader

Back
Top Bottom