Pamoja na hicho Kiingereza chenu cha ugoko lakini bado mzungu anawaita "nyani".Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
Pumba tupuNimekuambia sisi huku hatuchezi nyimbo kwa kufuata mfumo wa kuelekezwa kiakili, tunafuata ubora maana pia hela tunazo, ndio maana wasanii wenu ili aage umaskini lazima ajaribu kila namna kusikika kwenye soko la Kenya, maana huko Bongo ni msoto tu.
Vipi kuna tatizo kwani.Kwa hivyo wewe upo kwenye hii industry? Mbona jina lako halifahamiki? 😄😄
Wasanii wao hawavuki border hadi wafanye collabo na wasanii wa bongo.Watupe ushahidi wa msanii wao mkubwa kufanya shoo hata hapo SA tu, mimi ngoja nimpe ya huyu dogo kufanya show Gambia (sold out show) View attachment 1247148
Hela mnazo ziko wapi? ...kibera slums???...tumewashika pabaya kimziki....subirini muda uamue....ingizeni mikia yenu kwenye makalio kwa sasa
Ahhahaha watoe wapi mkuu,Huko Kenya mkuu hata hawapostiani, kushare content ya msanii mwenzake hakuna, hivi huwa wana invents kubwa kubwa za kisanii kama hawa madrama Queens and King's wetu kweli? Mara birthday mara baby shower mara harusi fake yaani huu udambu-udambu wanao kweli? Drama kama hizi ndio zinanogesha entertainment ya Tanzania na kuifanya ixidi kua juu Africa
Bahati mbaya hata ukiniuliza msanii wao mkubwa ni nani sina jibu 😂Wasanii wao hawavuki border hadi wafanye collabo na wasanii wa bongo.
LOL mkuu hiyo ndio topic huko kenya kwa sasa 😂 Eti wanadiscuss mabodgad wa harmo, hawajui kama huku anatembea na convoy ya kibabeAhhahaha watoe wapi mkuu,
Ukabila upo kila kona ya kenya hadi kwenye music Industry,
Wasanii wao hawajui kujibrand kabisa,
Hawajui kuwa harmo kutembea na mabodyguard wengi ni kutengeza brand ili apige mpunga zaidi.
Kazi yao ni kuiga iga ndio maana muziki wao Hakuna kitu mara waige bongo fleva mara waige naija 😂😂😂Bahati mbaya hata ukiniuliza msanii wao mkubwa ni nani sina jibu 😂
Kuna wimbo mmoja tu niliupenda na siku zote nilijua ni wa mbongo mpaka nilivyohudhuria kwenye event moja nikamuuliza mshkaji aniambie niu download ndio nikajua kumbe wa mkenya, unaitwaje hata sijui lyrics zake ndio najua 'uko sawa nao, wote malaika na mabawa yao, wote wanakuiga we ndo mama yao...'
Yeah hawajui kuwa msanii ni kujibrand ili thamani yako iendelee kuongezeka mara dufu😂😂😂LOL mkuu hiyo ndio topic huko kenya kwa sasa 😂 Eti wanadiscuss mabodgad wa harmo, hawajui kama huku anatembea na convoy ya kibabe
Wasanii wao wamezoea kuchangamana na wauza dagaa huko magengeni halafu wanategemea kuna siku watafika levels za kina dai
Watupe ushahidi wa msanii wao mkubwa kufanya shoo hata hapo SA tu, mimi ngoja nimpe ya huyu dogo kufanya show Gambia (sold out show) View attachment 1247148
LOL kwenye comments wanasema wasanii wao wakubwa wanapishana nao huko mitaani na hakuna mtu anashoboka nao yaani wanaishi in simplicity...Yeah hawajui kuwa msanii ni kujibrand ili thamani yako iendelee kuongezeka mara dufu😂😂😂
Kujibrand muhimu sana mkuu,LOL kwenye comments wanasema wasanii wao wakubwa wanapishana nao huko mitaani na hakuna mtu anashoboka nao yaani wanaishi in simplicity...
Nimesoma akili zao nikajua basi ndio maana sanaa yao haikui, eti wanashangaa wabongo wanavyokua mad wakiwaona celebrities wao, nikasema hapa kazi ipo 😡
These guys are too arrogant to accept that BONGO FLAVOUR is way too far comparing to their music.
Vanessa, Mimi Mars, Maua Sama, Nandy hawa ni wasanii wa kike wakubwa kwa sasa ukanda huu na wala sio wcbHamna zaidi ya wasafi...wengine wanajifia tu
Wasanii wao hawavuki border hadi wafanye collabo na wasanii wa bongo.
Bahati mbaya hata ukiniuliza msanii wao mkubwa ni nani sina jibu [emoji23]
Kuna wimbo mmoja tu niliupenda na siku zote nilijua ni wa mbongo mpaka nilivyohudhuria kwenye event moja nikamuuliza mshkaji aniambie niu download ndio nikajua kumbe wa mkenya, unaitwaje hata sijui lyrics zake ndio najua 'uko sawa nao, wote malaika na mabawa yao, wote wanakuiga we ndo mama yao...'
LOL kwenye comments wanasema wasanii wao wakubwa wanapishana nao huko mitaani na hakuna mtu anashoboka nao yaani wanaishi in simplicity...
Nimesoma akili zao nikajua basi ndio maana sanaa yao haikui, eti wanashangaa wabongo wanavyokua mad wakiwaona celebrities wao, nikasema hapa kazi ipo [emoji35]
Vanessa, Mimi Mars, Maua Sama, Nandy hawa ni wasanii wa kike wakubwa kwa sasa ukanda huu na wala sio wcb
Vanessa, Mimi Mars, Maua Sama, Nandy hawa ni wasanii wa kike wakubwa kwa sasa ukanda huu na wala sio wcb