Harmonize awakera Wakenya, afanya interview na wanahabari kwa dakika 3

Hatuna uwezo wa kujiongeza unataka uwezo gani wakati kwenye EAC unaweza kuona wasanii Namba 1 mpaka 5 watatoka TZ unataka kujiongeza vipi ?. Hivi kwanza unajua maana ya neno Bongo au unapiga kerere tu
Hamkatazwi, ila mumelelewa kwenye mfumo wa ujamaa ambao umewadumaza kiakili, huwa hamna uwezo wa kujiongeza.
 
Acheni kuwafatilia muone kama watalala njaa

Wakenya kwa husda hamjambo
 
Kila mtu anakosea huwezi kuwa right all the time
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimo ,unajua TZ watu wanapenda burudani ndio maana siku zote mashabiki ndio waamuzi sio music, sio mpira. Hata kiushabiki wa mpira ktk EAC TZ namba 1 huwezi kushindanisha na nchi yeyote kwa hapa EAC.
 
Sawa ninyi mlolelewa kwenye mfumo wa kibeberu mnazo akili mpaka wasanii wenu wanajulikana bongo

Hehehe naona umepapatika hadi unani-quote mara kumi kwa mpigo, ila ndio hali yenyewe na ukweli ambao huna uwezo wala haiba ya kuukubali.
 
Acheni kuwafatilia muone kama watalala njaa

Wakenya kwa husda hamjambo

Tunawafuata kwa sababu wanajituma, sisi ndivyo tulivyo, tunapenda kitu kwa ubora wake hatuendeshwi kikondoo kondoo na kuelekezwa elekezwa.
 
Tunawafuata kwa sababu wanajituma, sisi ndivyo tulivyo, tunapenda kitu kwa ubora wake hatuendeshwi kikondoo kondoo na kuelekezwa elekezwa.
Sasa unalia lia nini

Hebu sikiza wimbo wa Darassa kwanza maana naona umepanic
 
Unachekelea kwani kukujibu hivyo nimeona akili yako ndogo ndio maana nikakujibu kwa kejer kama lugha inakusumbua hutaelewa nini namaanisha
Hehehe naona umepapatika hadi unani-quote mara kumi kwa mpigo, ila ndio hali yenyewe na ukweli ambao huna uwezo wala haiba ya kuukubali.
 
Tunawafuata kwa sababu wanajituma, sisi ndivyo tulivyo, tunapenda kitu kwa ubora wake hatuendeshwi kikondoo kondoo na kuelekezwa elekezwa.
Radha ya nyimbo zenu mbayaaa ndio maana mumekubali kuwa mateka wa bongo hebu zikiliza vitu vya bongo hivyo sio nyimbo zenu zimepooza kama mate ya asubuhi
 
Tunawafuata kwa sababu wanajituma, sisi ndivyo tulivyo, tunapenda kitu kwa ubora wake hatuendeshwi kikondoo kondoo na kuelekezwa elekezwa.
Msanii yeyote awe wa Kenya ,Uganda Congo akitaka atoke lazima mziki wake aje kufanyia bongo kwanza harafu ubora wa nyimbo utafata ila wakifanya huko kwao watapata tabu sana ,au wakifanya kwao bc wamtafute msanii wa TZ bc nyimbo yake itajulikana EAC hapo ndipo utaona watu wanateseka kwanini TANZANIA HAHAHAHAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…