kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Sisi ndo tutaendelea kweli uchumi wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rose is a has been. Hakuna namna atafit kwenye gospel ya sasa. So ni mnamhifadhi a has been na hajafukuzwa Tz.Kikaragosi ambacho hakina akili. Hakina be wala te lakini kinatoka Ldc kinakuja middle income kutuonyesha madharau? Kwani yeye ndio nani? Tumeona wengi wakija kwa moto na kupotea. Muulize Mr. Nice alivyokuja kwa moto sasa hivi hayupo tena. Heshima na unyenyekevu ni vitu vya maana sana. Rose Muhando ni sisi tunamuhifadhi huku baada ya kufukuzwa kama mbwa na Watanzania wenzake. Sisi tunampenda na kumhufadhi Rose bila bugdha.
Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? AiseeBro relux, these are just YoungStars. Wakikua wataacha. Don't take them seriously. Au wewe huna watoto wa umri huo uliowalea.
Sara mwenyewe hajui English..Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
Ukiwa unacomment jaribu kushirikisha ubongo angalau hata kwa asilimia kadhaa,Kikaragosi ambacho hakina akili. Hakina be wala te lakini kinatoka Ldc kinakuja middle income kutuonyesha madharau? Kwani yeye ndio nani? Tumeona wengi wakija kwa moto na kupotea. Muulize Mr. Nice alivyokuja kwa moto sasa hivi hayupo tena. Heshima na unyenyekevu ni vitu vya maana sana. Rose Muhando ni sisi tunamuhifadhi huku baada ya kufukuzwa kama mbwa na Watanzania wenzake. Sisi tunampenda na kumhufadhi Rose bila bugdha.
Huyu msani sura mbaya kama kiatu ndio anaringa...
Dakika kadhaa zilizopita baada ya kutoka katika " interview" na waandishi habari ambako aliwadharau, alienda katika kipindi cha TV cha 10 over 10, wakenya walijazana sana. Wakenya hata iweje, hawana ujanja mbele ya Bongo flavor, zaidi ya kulalamika.
Hivi huyo Sarah si Muitaliano? Waitaliano wanaoongea English?Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
Amshukuru kwa kumfundisha lugha ya wakoloni waliotunyanyasa?, katika wasanii ninaowadharau ni " Harmonize" kwa tabia yake ya kupenda kuzungumza kiingereza kila wakati, ninawapenda sana, Aslay, Mboso na Rayvan, hata Diamond katika hili.Yaani kimtu cha 1994 ni kitoto? Aisee
He's full of himself. Akija Kenya anataka kuongea kiingereza tu ambacho hakifahamu vizuri. Anafaa kumshukuru Sarah kwa kumfundisha.
The dunderhead is talented tho'
Love his songs MATATIZO & SHOW ME ft Mavoko
Tafuta interview aliyofanya juzi exclusive na clouds media, anayo iq kubwa sanaDah! Na vile nilikua nimeanza kumkubali huyu dogo dhidi ya Diamond, yaani yeye ndiye amekua habari ya mjini ameshawapita akina Mondi na Kiba, ameanza kuharibika mapema, angesubiri aogelee kwenye misifa walau hata kwa mwaka mmoja.
Au wanahabari wa Kenya walimbabaisha kwa kingereza, unajua pia kingereza huwatesa sana Watz wanaishia ze ze ze...nakumbuka Diamond akihojiwa sehemu kwa kingereza, jamaa aliteseka sana. Ndio matatizo ya hawa madogo wa Tandale, wanatoka kimzuki na kuuaga umaskini ila sasa wanakosa mtu wa kuwaongoza jinsi gani ya kuhusiana na watu.
Jaguar amewafanyia nini wananchi wake zaidi ya kupandikiza chuki?
LOL nilichojua ni kwamba wakenya ni washamba sana wa wazungu, hawa ndio wale watu wansoamini kila mzungu ni millionaireSara mwenyewe hajui English..
Sijakupata vizuriTen over ten tena?
Last time ...'How do you feeling tonight.. Drop that shieeet..!
Katika trending YouTube videos kwa upande wa kenya, nyimbo mpya ya Harmonize naona ipo trending namba 1 😂😂😂