Harmonize awamwagia Povu baada ya kupost video na mzungu wake jikoni

Harmonize awamwagia Povu baada ya kupost video na mzungu wake jikoni

Hivi hawawezi kutoa wimbo bila kitafuta vurumai na watu wengine kwa nini wasiache kazi zao zikawatangaza kuliko huu utaratibu wa kizamani kabisa ndio maana wimbo ukimaliza wiki inakua miujiza siku hizi.
 
4c8b5ecbae27ee0b4f6647c55ff70bd3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni marufuku kutufananisha sisi wanaume na huyu harmonize
 
huyo dogo kaoa mzungu tabia nyingine atuachie sisi ambao bado tunapigana na hali ztu
 
Madogo wanapenda vya mtelemko jamaa analelewa tu hata boss wao kamtumia zali
 
Back
Top Bottom