Harmonize awamwagia Povu baada ya kupost video na mzungu wake jikoni

Harmonize awamwagia Povu baada ya kupost video na mzungu wake jikoni

Pambaneni na Hali zenu sio povu kutok povu uko vepe kwani mmekula kiwanda cha omo
 
Makonde bwana. Hayo ma breach kichwani ya nn sasa. Vifuwa wazi jikon na majasho.
Unaleta dramaaaa
 
Kupika tu kama anajiandaa na ngumi,yani yupo high high

Na kufungulie meno hiyo vepeee!
Ushamba bhana...
Hahaha.

Ujue na mini nineangalia hata sijamaliza, kuona kufungulia meno nikaona ushamba gani huu?

Nikajua labda ni mimi tu, kwa wengine inakubalika.

Kumbe hata wewe umeona kufungulia meno ushamba?
 
Hahaha.

Ujue na mini nineangalia hata sijamaliza, kuona kufungulia meno nikaona ushamba gani huu?

Nikajua labda ni mimi tu, kwa wengine inakubalika.

Kumbe hata wewe umeona kufungulia meno ushamba?

Ni ushamba mixer misifa
Mi nilichoona anajaribu kushow off kwa mtu fulani kuwa ana good life na mpenzi wake
 
Kupika tu kama anajiandaa na ngumi,yani yupo high high

Na kufungulie meno hiyo vepeee!
Ushamba bhana...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]alafu harmo anakishuzi kuliko bidada
 
Back
Top Bottom