Jikoni pazuri ila huyo mpishi anaonekana hana maadili na majiko ya kisasa , haikuwa na maana kuwa nusu uchi kuingia jikoni hata kama ni kwako. Jisitiri hata kwa Vest au apron basi !!!
Am out ni kaushauri tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume akiwa hana akili anakuwa kama anatembea uchi!
Ataijulia wapi apron mmakonde huyuu....Jikoni pazuri ila huyo mpishi anaonekana hana maadili na majiko ya kisasa , haikuwa na maana kuwa nusu uchi kuingia jikoni hata kama ni kwako. Jisitiri hata kwa Vest au apron basi !!!
Am out ni kaushauri tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sio bana, yule ana Bantu shape mashallah