Harmonize awamwagia Povu baada ya kupost video na mzungu wake jikoni

Mzungu alipaswa awe kifua wazi pia
Ili kidinda kidinde akitie ndinda

Don't mind me
 
Jikoni pazuri ila huyo mpishi anaonekana hana maadili na majiko ya kisasa , haikuwa na maana kuwa nusu uchi kuingia jikoni hata kama ni kwako. Jisitiri hata kwa Vest au apron basi !!!

Am out ni kaushauri tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti anaonyesha visi 6 pack. eti
 
No wonder. Role model wa Harmorapa

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Ata hayuko romantic kwa mschana wake
Anaongea kama anaongea na mshkaj wake wa kijiwen
 
ushamba bwana mzungu mwenyewe sura imekaa ki cyder na kiheroine mkibishana tu anatoa maku hata kwa mtu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…