Unajua kijifagilia hovyo kabisaMtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.
Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.
Kwamanahiyo Wakenya ni Wafinyu wa fikra akili hazichambui harakaMtu 'mashuhuri' akisema hivyo humaanisha tu kwamba 'Although Im like this, I also relate to what you are going through'.
Jamaa alikuwa ana-express humbleness...
Kibongo bongo inge-work.
Akadhani wakenya ni kama wabongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
15,000 VVIP, Kenya shillings. Imeandikwa hadi hapo juu kwenye taarifa.Unajua kijifagilia hovyo kabisa
1500 imekuwa 15000
Kenya ni masikini hilo halina ubishi
Wakenya wameishi kibabe mno baada ya uhuru. Kama ulivyosema, wanajiona bora sana, kwa sababu ndo mindset ya kuishi kule.Kwamanahiyo Wakenya ni Wafinyu wa fikra akili hazichambui haraka
wao hupenda kujiona bora muda wote kumbe makapuku tu kama makapuku wengine
Una kiswahili kizuri, wewe ni mkenya kweli?😳😳😳😳Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.
Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.
Na hawazidi 2015,000 VVIP, Kenya shillings. Imeandikwa hadi hapo juu kwenye taarifa.
Unataka kutuambia show imehudhuriwa na 95% na watu wa VVIP au?Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.
Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.
Unajua kijifagilia hovyo kabisa
1500 imekuwa 15000
Kenya ni masikini hilo halina ubishi
Unataka kutuambia show imehudhuriwa na 95% na watu wa VVIP au?
.
Kwa nilivyotazama wengi walikuwa na hadhi ya mathare na kibera utanyegezwa shauri yako kenya are very poor.
.
Najua wewe ni mkenya lakini lamu hujafika nenda uwone maisha ya dhiki yaliyoko kule watu wanakunya baharini.
Ulikuwa kwenye show ndio ukawahesabu au? Hamna sifa hapo, sema mwenzenu haelewi biashara. Wachina huwa wanasema 'customer is King'. Mtu ambaye amelipa 15,000 KES sio mtu wa kuambiwa vitu vya kipuuzi. Wakenya sio kama nyinyi ambao huwa mnaomba hadi madukani eti muuziwe, wakati hela ni zenu.Na hawazidi 20
Asilimia kubwa walio ingia ni 2000Ksh
tena 99%
Wacheni sifa
Huyo mtu aliyelipa 15,000 katika show ambayo hata kwenda chooni ni shida, lazima awe ni mkenya, kwasababu wakenya ni washamba wa maisha, huo ni uongo na kupenda SIFA za kijinga za wakenya.Ulikuwa kwenye show ndio ukawahesabu au? Hamna sifa hapo, sema mwenzenu haelewi biashara. Wachina huwa wanasema 'customer is King'. Mtu ambaye amelipa 15,000 KES sio mtu wa kuambiwa vitu vya kipuuzi. Wakenya sio kama nyinyi ambao huwa mnaomba hadi madukani eti muuziwe, wakati hela ni zenu.
umesema kweli mkuu!Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.