Harmonize azomewa baada ya kuwaita Wakenya maskini kwenye Wasafi Festival Nairobi

Harmonize azomewa baada ya kuwaita Wakenya maskini kwenye Wasafi Festival Nairobi

Na mimi narudia manake na wewe unashindwa kuelewa! Kama walichoandika Nation ndicho alichosema Harmonize, hapo hakuna chochote cha eti wasanii wa Tanzania wanahitaji darasa! Hakuna udhalilishaji wowote dhidi ya Wakenya kama sio tu tabia yenu yakupenda kujikweza pasipo na sababu za msingi!!!!I see... kwahiyo unashindwa kuona tatizo la totoz za Kikenya hapo?! Yaani msanii anasimama karibu na mashabiki, watoto wa kike wa Kikenya wanafanya kazi ya ziada na KUNYOOSHA mikono ili mradi tu wachezee dushelele?! Ni nyege, au?!
You're not serious my friend!! Yaani VVIP wanazomea ukumbuni kwa sababu wameitwa maskini?!

Kama mna ma-VVIP wanao-boo ukumbini then ni hawa the Kenyan Very Important Persons ndio wanaopaswa kupata darasa la ku-act like real VVIP! How come VVIP una-boo bhana?! Ma-VVIP wetu hata soda hawamalizi, sijui nguvu za ku-boo watazitoa wapi!!Hata Kenya, imejaaliwa sana! Mna mito, maziwa na bahari! Mna milima na mabonde!! Mna vivutio kadhaa vya utalii! Sioni cha maana ambacho Tanzania inacho na kipo under utilization ambacho Kenya hawana except for madini!

Lakini kama mmeshindwa kutumia utajiri uliopo kuwatajirisha Wakenya, sioni ni namna gani hata hayo madini yangeweza...!! Kukubali ukweli hakuna uhusiano wowote na suala la kutojiamini! Na mtu anayejiamini haoni taabu kukubali mapungufu yake ili hatimae ayafanyie kazi!!

Only people with superiority complex ndio huwa hawataki kukubaliana na ukweli! Na superiority complex ni matokeo ya TRUE inferiority complex! Mtu kama Uhuru Kenyatta ukimkejeli kwa kumuita maskini, atakucheka tu na kukupuuza lakini tatizo ni kwa yule ambae ni maskini lakini hataki umuone maskini... hapa ndipo inapozaliwa superiority complex! Ili kuficha udhaifu wako ni lazima ujitutumue... superiority complex!!!
Mfumo wetu wa kijamaa?! You can't be serious?! Unatumia vigezo gani kusema "mfumo wetu wa kijamaa?" Unamaanisha what's written or what is practiced? Yaani Ujamaa wa Nyerere aliyeondoka madarakani since 1985 bado unaimba "mfumo wetu wa kijamaa"?

Are you trying to convince me that, you don't know what Ujamaa exactly mean? Hivi hata huyo Harmonize mwenyewe anafahamu lolote kuhusu Ujamaa? Btw, ni wapi huko ndani ya Tanzania wanakohamasishana kila mmoja ajione maskini na aishi maisha ya kimaskini wakati haat Harmonize amekuambia yeye ni hustler?! Utakuwa vipi hustler ikiwa anahamasishwa ajione maskini na kuishi maisha ya kimaskini?!

Positive aatitute inanishawishi kuamini kwamba, Harmonize bado hajaridhika na pale alipo na ndio maana anajiita maskini lakini anahitimisha kwa kukiri kwamba yeye ni hustler... bado anatafuta!
Kama ambavyo, according to a Kenyan media, TUKO, walivyopata kuzielezea tabia za Wakenya katika ku-express wivu wao dhidi ya wale walionacho! Here's what Tuko says:

Wakenya wana njia za ajabu za kukashifu kile ambacho hawapendi Njia hizo mara nyingi ni za kudhihirisha wivu lakini njia hizo za kujieleza zitakushangaza Jarida la TUKO.co.ke limezikusanya baadhi ya semi zao ambazo zadhihirisha unafiki na wivu wa hali ya juu:-
1. Siwezi kununua gari kwa pesa za mkopo
2. Mumewe ana sura mbaya, huenda alimkublia kwa sababu ya pesa zake
3. Gari si kitu cha maana kwangu
4. Simu aina ya Iphone inasifiwa bure, bora simu inaweza kuandika arafa na kuongea tosha.
5. Wao ni matajiri lakini nyumba hiyo haina amani.

Halafu kuna huu msemo wenu mwingine:
13. Gari aina ya Merces Benz ni sawa na gari llolote lingine, kwani lina magurudumu 5

Ndugu yangu MK254, we sema tu kwamba huna uwezo wa kununua Benzi; sasa habari za magurudmu matano zinatoka wapi?

Halafu Mpwa, sisi na nyinyi ni dugu moja... hakuna tabia ya hovyo waliyonayo Watanzania ambayo Wakenya hawana and vice versa!! Manake hiyo misemo ya Wakenya iliyowekwa na Tuko, ndiyo hiyo utakumbana nayo kwenye viunga vya Dar es salaam na kwingineko!!!

UNAHISI? Mkenya unahisi badala ya kutafuta fact?! Unaniangusha bhana!!! Yaani yale ma-confidence uliyotaja hapo juu kumbe yanajengwa kwa kuhisi hisi tu?

Hebu jaribu kuhisi na hili ili unipe jibu: Unadhani Diamond anampenda kweli Tanasha Donna Oketch au ilikuwa ni janja janja yake tu kwa jili ya Wasafi Festival?

Back to the subject:

Source uliyonipa inasema: Kisha wanaendelea:

Wakati namalizia "kashahada" kangu ka elimu ya juu, nilifanya research moja hivi! Baada ya kufanya data analysis, nikakuta pale ambapo nilitakiwa kupata a maximum of 1 (ratios), nikawa napata 5 na kuendelea!!! Nilichofanya ni kukusanya makarabrasha yangu na kurudi field for a fresh data collection kwa sababu niligundua my respondents wamenilisha matango pori!
duuh!! ebwana eehh
 
Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.

Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.
Elf 15 kwa tz ni hela ya bia one day so sio pesa mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alas [emoji1487][emoji1490][emoji1787][emoji23]
Nitakujuza kwangu kiswahili siipi kipaumbele jinsi unavyofikiria. Hakuna mitihani [emoji23][emoji23].

Naitambua kiingereza, kifaransa, kiswahili, lugha ya mama, na sasa hivi nataka kuijua mandarin. Kiswahili najikaza nayo ili ng'ombe aina yako angalau mpate kuelewa na kuelimika.

Bado hujihurumii?[emoji23]
IMG_20190109_152918.jpeg
 
Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.

Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.

Ahaaa haaa haaa

unafahamu nchi tajiri wewe?
au umewahi ishi nchi tajiri wewe?

acheni KUONGEA story za mitaani.
 
We have different cultures , its important to maintain that line

Sent using Jamii Forums mobile app
They dont know what culture is,wanafaa wajue kuna kitu inaitwa culture na hauezi enda kwa nchi ya watu na kuwatusi na hao ndo wanakulisha,nikaa uende france then uwatusi na french yao,but namuelewa Harmonize kweli alienda shule,huku kenya wasanii wamesoma check out sauti sol na nyashinski so hadi reaaon yao diffrent sana nawahurumia that was their last show walifanya huku,coz sai things will change with the #december hakuna mambo na wasanii wa nje ni strictly kenyan artist kila msanii akae kwao tuone who will loose

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom