Harmonize azomewa baada ya kuwaita Wakenya maskini kwenye Wasafi Festival Nairobi

Hermonaiz amshukuru mwenyezi Mungu maana kama sio kipaji cha kuimba, angekuwa chokoraa katika mitaa ya Bugruni, Tan Dale au Manzeze
 
Hahahahaha mshindwe kutajirisha wasanii wenu kwanza, mtawezaje kutajirisha majirani zenu kama sio ulimbukeni na ushamba?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wasanii wetu wanaotoa ngoma poa wametajirika.

Lakini wakenya hawana akili kama ya bongolala. We reward good music irrespective of the source.

Diamond show yake Nairobi analipwa Ksh4 million.
Tanzania Diamond analipwa Ksh500,000.. Yeye mwenyewe anajua kwenye pesa iko.
 
Nitakujuza kwangu kiswahili siipi kipaumbele jinsi unavyofikiria. Hakuna mitihani [emoji23][emoji23].

Naitambua kiingereza, kifaransa, kiswahili, lugha ya mama, na sasa hivi nataka kuijua mandarin. Kiswahili najikaza nayo ili ng'ombe aina yako angalau mpate kuelewa na kuelimika.

Bado hujihurumii?[emoji23]
Acha dharau we nyang'au!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.

Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.
Kwani kulipa TZS 350,000/= ndiyo umekuwa tajiri?? Tatizo la wakenya hasa Wakikuyu wanajiona matajiri sana wakati wanapesa ya kununua unga tu!
 
Ulikuwa kwenye show ndio ukawahesabu au? Hamna sifa hapo, sema mwenzenu haelewi biashara. Wachina huwa wanasema 'customer is King'. Mtu ambaye amelipa 15,000 KES sio mtu wa kuambiwa vitu vya kipuuzi. Wakenya sio kama nyinyi ambao huwa mnaomba hadi madukani eti muuziwe, wakati hela ni zenu.
Wachina tena!!? Mbona wachina wanawazarau sana wakenya mpaka walimtukana rais wenu wakawalinganisha na nyani?
 
Hao vijana wenu mnafaa kuwapa darasa nini cha kusema mbele ya nyomi ya kimataifa, wajue misemo yao ya kibongo haiendani na fikira za watu wa nchi zingine, sisi Wakenya ni watu wa kujiamini, hatupendi kujishusha hadhi, tunatembea kifua mbele yaani hata kama umefulia, unapiga nguo pasi na kunyoosha hadi mtoko wako unakubalika popote unapokwenda.
Sio maisha ya kuomba omba hata pale ulishafanikiwa kimaisha bado umenyong'onyea kama paka aliyenyeshewa.
Hakuna watu katika EA wasiojiamini kama wakenya nawajua nimefanya nao kazi hapo westland. Yaani wakiona ngozi nyeupe wanakuwa mazezeta kabisa ndiyo maana uliona yule mchina aliwatukana hadi rais wenu kuwa nyinyi ni manyani.
 
Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.

Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.
Povu lote hili la nini? Hivi amesema 'Wakenya ni maskini" au amesema "maskini wenzangu" ?

Hivi ni % ngapi ya Wakenya wana uwezo wa kulipa hiyo KSH. 15,000 kwa show moja?! Hata hapo kwenye show, ni % ngapi walilipa hizo VIP Tickets miongoni mwa wote waliohudhuria hiyo shoo?

Hivi hata ukichukua Wakenya wote waliokuwa wamehudhuria hiyo show kisha ukawa-rate mmoja mmoja in terms of wealthiness; hivi unaamini Harmonize atakuwa miongoni mwa maskini in the group pamoja na yeye kujiita ni maskini?!

Mwanzoni nilivyosikia Harmonize kawaita Wakenya maskini, I was shocked and disappointed nikidhani kawaita kwa namna ya kuwakashifu! Kumbe kasema "nyie ni maskini wenzangu, and we're all hustlers" halafu mna-panic!!

What then? Are you guys rich?! Hivi ikipigwa mbiu kwamba Waafrika matajiri wenye angalau annual income ya USD 25K, ni Wakenya wangapi watatoka?

Kwanini mli-panic? Or you're just poor but not hustlers?!

I hate to say this but to be honest, you're just poor like majority of Africans! And majority of you are poor than even Dogo Janja let alone Harmonize!!
 
Wasanii wetu wanaotoa ngoma poa wametajirika.

Lakini wakenya hawana akili kama ya bongolala. We reward good music irrespective of the source.

Diamond show yake Nairobi analipwa Ksh4 million.
Tanzania Diamond analipwa Ksh500,000.. Yeye mwenyewe anajua kwenye pesa iko.
Umeandika kiswahili gani sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu lote hili la nini? Hivi amesema 'Wakenya ni maskini" au amesema "maskini wenzangu" ?

Hivi ni % ngapi ya Wakenya wana uwezo wa kulipa hiyo KSH. 15,000 kwa show moja?! Hata hapo kwenye show, ni % ngapi walilipa hizo VIP Tickets miongoni mwa wote waliohudhuria hiyo shoo?

Hivi hata ukichukua Wakenya wote waliokuwa wamehudhuria hiyo show kisha ukawa-rate mmoja mmoja in terms of wealthiness; hivi unaamini Harmonize atakuwa miongoni mwa maskini in the group pamoja na yeye kujiita ni maskini?!

Mwanzoni nilivyosikia Harmonize kawaita Wakenya maskini, I was shocked and disappointed nikidhani kawaita kwa namna ya kuwakashifu! Kumbe kasema "nyie ni maskini wenzangu, and we're all hustlers" halafu mna-panic!!

What then? Are you guys rich?! Hivi ikipigwa mbiu kwamba Waafrika matajiri wenye angalau annual income ya USD 25K, ni Wakenya wangapi watatoka?

Kwanini mli-panic? Or you're just poor but not hustlers?!

I hate to say this but to be honest, you're just poor like majority of Africans! And majority of you are poor than even Dogo Janja let alone Harmonize!!

Narudia tena maana naona inawachukua muda sana kuelewa ninachokisema.
Hao vijana wenu ni wazuri kwenye kuimba, lakini mnafaa kuwapa darasa jinsi ya kujiongoza kitabia na maneno yanayowatoka, wengi wa hao vijana wenu wamezaliwa kitaa kwenye maisha ya umaskini japo kwa kujituma kimuziki, wakafaulu kutoka, sasa huwa wanajikuta kwenye maisha ya utajiri wa pesa lakini wako zero kwenye kila kitu kingine.
Nafikiri umepata fursa ya kutazama video ya mmojawapo wa hao vijana alivyojiachia kwenye jukwaa mashabiki wakampapasa mapum.bu

Anyway, Kitu cha kufahamu kwanza ni kwamba, kawaida msanii anapotumbuiza kisha aanze kuongea, wanaomskia anachokisema mara nyingi huwa wale wa VIP, na hayo maeneo huwa pamekaliwa na watoto wa mabwenyenye, who is who in the society, wengi wao huwa wamekuja na magari ya kifahari na show off za kila aina, hivyo kama msanii lazima uwe makini na maneno yanayokutoka maana muda wowote unaweza kuchezea chupa za beer.

Likija suala la umaskini, ni kweli Kenya tunao maskini, ni nchi ya Kiafrika na kama kawaida bara letu hili limelaaniwa umaskini, mfano mkubwa ni nchi yenu ilivyo na utajiri wa kila kitu lakini raia wake maskini wa kutupwa. Hivyo sibishi kwamba kwetu hatuna maskini, wapo tu, lakini narudia tena kusema, Wakenya ni watu wa kujiamini, hatupendi kujishusha hadhi, kila mmoja wetu anajituma na kuwa na matumaini ya kutoka kimasomaso, hatuishi maisha ya kusononeka, tunapambana na hali yetu.
Tofauti na mfumo wenu wa kijamaa ambao unahamasisha kila mmoja ajione maskni na aishi maisha ya kimaskini. Yeyote anayeonekana kujituma na kuishi kifahari, anachukiwa sana na kusemwa.
Tanzania imetajwa kama ya tatu duniani kwa watu wanaoishi maisha yasiyokua na furaha, yaani full msongo wa mawazo, na hilo nahisi limechangiwa na huo mfumo wa ujamaa ambao hufanya matajiri waishi kama maskini au mashetani (kauli la mkuu wa nchi). Soma hii taarifa hapa jinsi mumetajwa kama watu wanaoishi maisha ya machungu mengi tu Tanzania named third unhappiest country in the world – Dar Post
 
Mali kauli,Unaufaham huu msemo?
Ilifaa aache kuwakumbusha watu dhiki zao awaburushishe zaidi,sehemu Za starehe sio mahali sahihi zakukumbushana matatizo yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu amelipa 15,000kshs hiyo kwa yale madafu yenu ni 350,000Tshs kwa show yako halafu unamuita maskini, tatizo hawa vijana wa Wasafi hawaonekani kuwa na mentor/washauri, they don't seem to know how to manage success. Ndio kawaida kwa mzawa wa ghetto kitaani ukifanikiwa kupata pesa kwa mkupuo unashindwa jinsi ya kujiongoza, unaishia kuwa na tuhuma na scandal za kiajabu ajabu, mwenzie Diamond Platinum naye full vituko, ndoa zimemshinda.

Lakini pia hilo la kujiita maskini na kuwaita wengine maskini, sitamlaumu maana ndio hulka ya Kitanzania, kawaida kwa Watanzania, umaskini ni uzalendo, yaani mfumo wa ujamaa wa Nyerere huwa umewaathiri kwamba mtu akifanikiwa anachukiwa sana, hivyo inambidi kuishi kimaskini maskini, kuna siku hata kiongozi wao alishasema matajiri wataishi kama mashetani.
@mk254
Tanzania kuna shida sana mkuu, hii ni ya kujivunia ardhi, mazingira na sio watu wake.
Ni kizazi chenye taabu, wivu, chuki na matatizo mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena maana naona inawachukua muda sana kuelewa ninachokisema.
Hao vijana wenu ni wazuri kwenye kuimba, lakini mnafaa kuwapa darasa jinsi ya kujiongoza kitabia na maneno yanayowatoka, wengi wa hao vijana wenu wamezaliwa kitaa kwenye maisha ya umaskini japo kwa kujituma kimuziki, wakafaulu kutoka, sasa huwa wanajikuta kwenye maisha ya utajiri wa pesa lakini wako zero kwenye kila kitu kingine.
Na mimi narudia manake na wewe unashindwa kuelewa! Kama walichoandika Nation ndicho alichosema Harmonize, hapo hakuna chochote cha eti wasanii wa Tanzania wanahitaji darasa! Hakuna udhalilishaji wowote dhidi ya Wakenya kama sio tu tabia yenu yakupenda kujikweza pasipo na sababu za msingi!!!!
Nafikiri umepata fursa ya kutazama video ya mmojawapo wa hao vijana alivyojiachia kwenye jukwaa mashabiki wakampapasa mapum.bu
I see... kwahiyo unashindwa kuona tatizo la totoz za Kikenya hapo?! Yaani msanii anasimama karibu na mashabiki, watoto wa kike wa Kikenya wanafanya kazi ya ziada na KUNYOOSHA mikono ili mradi tu wachezee dushelele?! Ni nyege, au?!
Anyway, Kitu cha kufahamu kwanza ni kwamba, kawaida msanii anapotumbuiza kisha aanze kuongea, wanaomskia anachokisema mara nyingi huwa wale wa VIP, na hayo maeneo huwa pamekaliwa na watoto wa mabwenyenye, who is who in the society, wengi wao huwa wamekuja na magari ya kifahari na show off za kila aina, hivyo kama msanii lazima uwe makini na maneno yanayokutoka maana muda wowote unaweza kuchezea chupa za beer.
You're not serious my friend!! Yaani VVIP wanazomea ukumbuni kwa sababu wameitwa maskini?!

Kama mna ma-VVIP wanao-boo ukumbini then ni hawa the Kenyan Very Important Persons ndio wanaopaswa kupata darasa la ku-act like real VVIP! How come VVIP una-boo bhana?! Ma-VVIP wetu hata soda hawamalizi, sijui nguvu za ku-boo watazitoa wapi!!
Likija suala la umaskini, ni kweli Kenya tunao maskini, ni nchi ya Kiafrika na kama kawaida bara letu hili limelaaniwa umaskini, mfano mkubwa ni nchi yenu ilivyo na utajiri wa kila kitu lakini raia wake maskini wa kutupwa.
Hata Kenya, imejaaliwa sana! Mna mito, maziwa na bahari! Mna milima na mabonde!! Mna vivutio kadhaa vya utalii! Sioni cha maana ambacho Tanzania inacho na kipo under utilization ambacho Kenya hawana except for madini!

Lakini kama mmeshindwa kutumia utajiri uliopo kuwatajirisha Wakenya, sioni ni namna gani hata hayo madini yangeweza...!!
Hivyo sibishi kwamba kwetu hatuna maskini, wapo tu, lakini narudia tena kusema, Wakenya ni watu wa kujiamini, hatupendi kujishusha hadhi, kila mmoja wetu anajituma na kuwa na matumaini ya kutoka kimasomaso, hatuishi maisha ya kusononeka, tunapambana na hali yetu.
Kukubali ukweli hakuna uhusiano wowote na suala la kutojiamini! Na mtu anayejiamini haoni taabu kukubali mapungufu yake ili hatimae ayafanyie kazi!!

Only people with superiority complex ndio huwa hawataki kukubaliana na ukweli! Na superiority complex ni matokeo ya TRUE inferiority complex! Mtu kama Uhuru Kenyatta ukimkejeli kwa kumuita maskini, atakucheka tu na kukupuuza lakini tatizo ni kwa yule ambae ni maskini lakini hataki umuone maskini... hapa ndipo inapozaliwa superiority complex! Ili kuficha udhaifu wako ni lazima ujitutumue... superiority complex!!!
Tofauti na mfumo wenu wa kijamaa ambao unahamasisha kila mmoja ajione maskni na aishi maisha ya kimaskini.
Mfumo wetu wa kijamaa?! You can't be serious?! Unatumia vigezo gani kusema "mfumo wetu wa kijamaa?" Unamaanisha what's written or what is practiced? Yaani Ujamaa wa Nyerere aliyeondoka madarakani since 1985 bado unaimba "mfumo wetu wa kijamaa"?

Are you trying to convince me that, you don't know what Ujamaa exactly mean? Hivi hata huyo Harmonize mwenyewe anafahamu lolote kuhusu Ujamaa? Btw, ni wapi huko ndani ya Tanzania wanakohamasishana kila mmoja ajione maskini na aishi maisha ya kimaskini wakati haat Harmonize amekuambia yeye ni hustler?! Utakuwa vipi hustler ikiwa anahamasishwa ajione maskini na kuishi maisha ya kimaskini?!

Positive attitude inanishawishi kuamini kwamba, Harmonize bado hajaridhika na pale alipo na ndio maana anajiita maskini lakini anahitimisha kwa kukiri kwamba yeye ni hustler... bado anatafuta!
Yeyote anayeonekana kujituma na kuishi kifahari, anachukiwa sana na kusemwa.
Kama ambavyo, according to a Kenyan media, TUKO, walivyopata kuzielezea tabia za Wakenya katika ku-express wivu wao dhidi ya wale walionacho! Here's what Tuko says:

Wakenya wana njia za ajabu za kukashifu kile ambacho hawapendi Njia hizo mara nyingi ni za kudhihirisha wivu lakini njia hizo za kujieleza zitakushangaza Jarida la TUKO.co.ke limezikusanya baadhi ya semi zao ambazo zadhihirisha unafiki na wivu wa hali ya juu:-
1. Siwezi kununua gari kwa pesa za mkopo
2. Mumewe ana sura mbaya, huenda alimkublia kwa sababu ya pesa zake
3. Gari si kitu cha maana kwangu
4. Simu aina ya Iphone inasifiwa bure, bora simu inaweza kuandika arafa na kuongea tosha.
5. Wao ni matajiri lakini nyumba hiyo haina amani.

Halafu kuna huu msemo wenu mwingine:
13. Gari aina ya Merces Benz ni sawa na gari llolote lingine, kwani lina magurudumu 5

Ndugu yangu MK254, we sema tu kwamba huna uwezo wa kununua Benzi; sasa habari za magurudmu matano zinatoka wapi?

Halafu Mpwa, sisi na nyinyi ni dugu moja... hakuna tabia ya hovyo waliyonayo Watanzania ambayo Wakenya hawana and vice versa!! Manake hiyo misemo ya Wakenya iliyowekwa na Tuko, ndiyo hiyo utakumbana nayo kwenye viunga vya Dar es salaam na kwingineko!!!

Tanzania imetajwa kama ya tatu duniani kwa watu wanaoishi maisha yasiyokua na furaha, yaani full msongo wa mawazo, na hilo nahisi limechangiwa na huo mfumo wa ujamaa ambao hufanya matajiri waishi kama maskini au mashetani (kauli la mkuu wa nchi). Soma hii taarifa hapa jinsi mumetajwa kama watu wanaoishi maisha ya machungu mengi tu Tanzania named third unhappiest country in the world – Dar Post
UNAHISI? Mkenya unahisi badala ya kutafuta fact?! Unaniangusha bhana!!! Yaani yale ma-confidence uliyotaja hapo juu kumbe yanajengwa kwa kuhisi hisi tu?

Hebu jaribu kuhisi na hili ili unipe jibu: Unadhani Diamond anampenda kweli Tanasha Donna Oketch au ilikuwa ni janja janja yake tu kwa jili ya Wasafi Festival?

Back to the subject:

Source uliyonipa inasema:
Despite 8 of the 10 unhappiest countries being in Africa, the report’s authors were surprised Tanzania scored so low.
Kisha wanaendelea:
Their predicted values, which are based on their performance on the six key variables [of economic strength, social support, life expectancy, freedom of choice, generosity and perceived corruption] are high enough to rank them much higher than they do in the survey.

Wakati namalizia shahada yangu ya elimu ya juu, nilifanya research moja hivi! Baada ya kufanya data analysis, nikakuta pale ambapo nilitakiwa kupata a maximum of 1 (ratios), nikawa napata 5 na kuendelea!!! Nilichofanya ni kukusanya makarabrasha yangu na kurudi field for a fresh data collection kwa sababu niligundua my respondents wamenilisha matango pori!
 
Na mimi narudia manake na wewe unashindwa kuelewa! Kama walichoandika Nation ndicho alichosema Harmonize, hapo hakuna chochote cha eti wasanii wa Tanzania wanahitaji darasa! Hakuna udhalilishaji wowote dhidi ya Wakenya kama sio tu tabia yenu yakupenda kujikweza pasipo na sababu za msingi!!!!I see... kwahiyo unashindwa kuona tatizo la totoz za Kikenya hapo?! Yaani msanii anasimama karibu na mashabiki, watoto wa kike wa Kikenya wanafanya kazi ya ziada na KUNYOOSHA mikono ili mradi tu wachezee dushelele?! Ni nyege, au?!
You're not serious my friend!! Yaani VVIP wanazomea ukumbuni kwa sababu wameitwa maskini?!

Kama mna ma-VVIP wanao-boo ukumbini then ni hawa the Kenyan Very Important Persons ndio wanaopaswa kupata darasa la ku-act like real VVIP! How come VVIP una-boo bhana?! Ma-VVIP wetu hata soda hawamalizi, sijui nguvu za ku-boo watazitoa wapi!!Hata Kenya, imejaaliwa sana! Mna mito, maziwa na bahari! Mna milima na mabonde!! Mna vivutio kadhaa vya utalii! Sioni cha maana ambacho Tanzania inacho na kipo under utilization ambacho Kenya hawana except for madini!

Lakini kama mmeshindwa kutumia utajiri uliopo kuwatajirisha Wakenya, sioni ni namna gani hata hayo madini yangeweza...!! Kukubali ukweli hakuna uhusiano wowote na suala la kutojiamini! Na mtu anayejiamini haoni taabu kukubali mapungufu yake ili hatimae ayafanyie kazi!!

Only people with superiority complex ndio huwa hawataki kukubaliana na ukweli! Na superiority complex ni matokeo ya TRUE inferiority complex! Mtu kama Uhuru Kenyatta ukimkejeli kwa kumuita maskini, atakucheka tu na kukupuuza lakini tatizo ni kwa yule ambae ni maskini lakini hataki umuone maskini... hapa ndipo inapozaliwa superiority complex! Ili kuficha udhaifu wako ni lazima ujitutumue... superiority complex!!!
Mfumo wetu wa kijamaa?! You can't be serious?! Unatumia vigezo gani kusema "mfumo wetu wa kijamaa?" Unamaanisha what's written or what is practiced? Yaani Ujamaa wa Nyerere aliyeondoka madarakani since 1985 bado unaimba "mfumo wetu wa kijamaa"?

Are you trying to convince me that, you don't know what Ujamaa exactly mean? Hivi hata huyo Harmonize mwenyewe anafahamu lolote kuhusu Ujamaa? Btw, ni wapi huko ndani ya Tanzania wanakohamasishana kila mmoja ajione maskini na aishi maisha ya kimaskini wakati haat Harmonize amekuambia yeye ni hustler?! Utakuwa vipi hustler ikiwa anahamasishwa ajione maskini na kuishi maisha ya kimaskini?!

Positive aatitute inanishawishi kuamini kwamba, Harmonize bado hajaridhika na pale alipo na ndio maana anajiita maskini lakini anahitimisha kwa kukiri kwamba yeye ni hustler... bado anatafuta!
Kama ambavyo, according to a Kenyan media, TUKO, walivyopata kuzielezea tabia za Wakenya katika ku-express wivu wao dhidi ya wale walionacho! Here's what Tuko says:

Wakenya wana njia za ajabu za kukashifu kile ambacho hawapendi Njia hizo mara nyingi ni za kudhihirisha wivu lakini njia hizo za kujieleza zitakushangaza Jarida la TUKO.co.ke limezikusanya baadhi ya semi zao ambazo zadhihirisha unafiki na wivu wa hali ya juu:-
1. Siwezi kununua gari kwa pesa za mkopo
2. Mumewe ana sura mbaya, huenda alimkublia kwa sababu ya pesa zake
3. Gari si kitu cha maana kwangu
4. Simu aina ya Iphone inasifiwa bure, bora simu inaweza kuandika arafa na kuongea tosha.
5. Wao ni matajiri lakini nyumba hiyo haina amani.

Halafu kuna huu msemo wenu mwingine:
13. Gari aina ya Merces Benz ni sawa na gari llolote lingine, kwani lina magurudumu 5

Ndugu yangu MK254, we sema tu kwamba huna uwezo wa kununua Benzi; sasa habari za magurudmu matano zinatoka wapi?

Halafu Mpwa, sisi na nyinyi ni dugu moja... hakuna tabia ya hovyo waliyonayo Watanzania ambayo Wakenya hawana and vice versa!! Manake hiyo misemo ya Wakenya iliyowekwa na Tuko, ndiyo hiyo utakumbana nayo kwenye viunga vya Dar es salaam na kwingineko!!!

UNAHISI? Mkenya unahisi badala ya kutafuta fact?! Unaniangusha bhana!!! Yaani yale ma-confidence uliyotaja hapo juu kumbe yanajengwa kwa kuhisi hisi tu?

Hebu jaribu kuhisi na hili ili unipe jibu: Unadhani Diamond anampenda kweli Tanasha Donna Oketch au ilikuwa ni janja janja yake tu kwa jili ya Wasafi Festival?

Back to the subject:

Source uliyonipa inasema: Kisha wanaendelea:

Wakati namalizia "kashahada" kangu ka elimu ya juu, nilifanya research moja hivi! Baada ya kufanya data analysis, nikakuta pale ambapo nilitakiwa kupata a maximum of 1 (ratios), nikawa napata 5 na kuendelea!!! Nilichofanya ni kukusanya makarabrasha yangu na kurudi field for a fresh data collection kwa sababu niligundua my respondents wamenilisha matango pori!
Lol... Wewe ni mwandishi wa riwaya?
 
Back
Top Bottom