mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wanapenda kujikweza sana wakati hata uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, hawana lolote hawa majamaa.
Unaelewa VVIP ni nini? Umefika kwenye show yoyote Kenya au huwa unahadithiwa tu? Kenya vitu kama hivyo huwa havifanywi kishamba shamba. Watu huwa wanalipa wakijua kwamba viwango ni international. Russel Peters, stand-up comedian kutoka Canada alifika Kenya na regular tu ilikuwa ni 15,000 KES na ticket ziliuzwa zote.Huyo mtu aliyelipa 15,000 katika show ambayo hata kwenda chooni ni shida, lazima awe ni mkenya, kwasababu wakenya ni washamba wa maisha, huo ni uongo na kupenda SIFA za kijinga za wakenya.
Ukweli ni kwamba show kama hizo ni very cheap show, kama karoga festival na Fiesta, haizidi KSH 1,500, acheni sifa zenu za kijinga, ni kawaida yenu kujipiga kifua wakati hamna lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mpaka kero.Wanapenda kujikweza sana wakati hata uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, hawana lolote hawa majamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe, Rick Ross alikua hapo na kiingilio cha juu kabisa nilikua 9,000. Kinachofanya kuwepo na kiingilio kikubwa sio msaani pekee, ni sehemu ambapo hiyo shoo inafanyika, huwezi kufanya show hapo Uhuru pack, ambapo hata meza ya kukaa hakuna, eti uite VVIP.Unaelewa VVIP ni nini? Umefika kwenye show yoyote Kenya au huwa unahadithiwa tu? Kenya vitu kama hivyo huwa havifanywi kishamba shamba. Watu huwa wanalipa wakijua kwamba viwango ni international. Russel Peters, stand-up comedian kutoka Canada alifika Kenya na regular tu ilikuwa ni 15,000 KES na ticket ziliuzwa zote.
Haha lenga hawa watuUnaelewa VVIP ni nini? Umefika kwenye show yoyote Kenya au huwa unahadithiwa tu? Kenya vitu kama hivyo huwa havifanywi kishamba shamba. Watu huwa wanalipa wakijua kwamba viwango ni international. Russel Peters, stand-up comedian kutoka Canada alifika Kenya na regular tu ilikuwa ni 15,000 KES na ticket ziliuzwa zote.
Unaongea kuhusu kitu ambacho hukifahamu kwa hivyo sitabisha.Acha ujinga wewe, Rick Ross alikua hapo na kiingilio cha juu kabisa nilikua 9,000. Kinachofanya kuwepo na kiingilio kikubwa sio msaani pekee, ni sehemu ambapo hiyo shoo inafanyika, huwezi kufanya show hapo Uhuru pack, ambapo hata meza ya kukaa hakuna, eti uite VVIP.
Ninyi wakenya ni washamba sana, na kikubwa kinachowasumbua ni kumbenda kuishi juu ya uwezo wenu wa maisha. Hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu anayeweza kuhudhuria Wasafi Festival kwa 15,000, wasafi festivals ni kwaajili ya vijana wenye kipato cha chini kabisa, ni sehemu ya fujo sana, sio rahisi hata kwenda na familia yako na ukafurahia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha! π Ndio maana Nairobi ndio mji mkuu ukanda huu wote ikifika kwenye entertainment industry.Haha lenga hawa watu
Kwao shows huwa Tsh10,000.
Unaeza sema ni events za high school students.
Huyu "nyang'au" amekaa sana bongo.Una kiswahili kizuri, wewe ni mkenya kweli?π³π³π³π³
Hahahahaha mshindwe kutajirisha wasanii wenu kwanza, mtawezaje kutajirisha majirani zenu kama sio ulimbukeni na ushamba?Hawa wasanii wa Wasafi wametajirishwa na Kenya.
Show zao Kenya huwa Sh2000 ilhali Tanzania ni Sh500.
Lakini sasa wameanza dharau. Live performances zimeboeka.
Wakiendelea hivi, ngoma zao tutabaki tu kuzionea YouTube.
Kwa sababu gani? Kuijua kiswahili kwa ufasaha?Huyu "nyang'au" amekaa sana bongo.
Usione anavyoiponda Tanzania humu jamvini, maisha yake asilimia zaidi ya 60 ni bongoland.
Wewe umeelewa kilichotokea kwa asilimia zote. Kibongo bongo hiyo sentensi haina shida kabisa, ila kwa kenya na sehem zingine nyingi. Hiyo sentensi ina utata sanaMtu 'mashuhuri' akisema hivyo humaanisha tu kwamba 'Although Im like this, I also relate to what you are going through'.
Jamaa alikuwa ana-express humbleness...
Kibongo bongo inge-work.
Akadhani wakenya ni kama wabongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kuijua kiswahili" ndio kitu gani hicho!?Kwa sababu gani? Kuijua kiswahili kwa ufasaha?
Yaani hata mKenya kuijua Kiswahili ni chanzo cha wivu na kejeli? Sio nyinyi mnaotaka kiswahili kisambae na kitambulike kanda hizi za Africa?
Iweje tena waKenya kuitambua kiswahili iwe shida kwenu?
Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana.
Nitakujuza kwangu kiswahili siipi kipaumbele jinsi unavyofikiria. Hakuna mitihani [emoji23][emoji23]."Kuijua kiswahili" ndio kitu gani hicho!?
Rudi darasani....mwambie nyang'au mwenzio MK254 akusugue ubongo uandike inavyotakiwa.
duu umeua ππππNitakujuza kwangu kiswahili siipi kipaumbele jinsi unavyofikiria. Hakuna mitihani [emoji23][emoji23].
Naitambua kiingereza, kifaransa, kiswahili, lugha ya mama, na sasa hivi nataka kuijua mandarin. Kiswahili najikaza nayo ili ng'ombe aina yako angalau mpate kuelewa na kuelimika.
Bado hujihurumii?[emoji23]