Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwetu vs lupela/chekecha cheketua/nagharamikia upi mzuriSawa data endeleza umbulula wako
mimi ninashindwa kuzitofautisha hizo nyimbo sijui upi ndio bado na upi ni kwetu, zote neno bado linajirudia rudia kwenye chorus ..sijui ni uzee wangu tu.
tatizo si kujirudia kwa neno katika wimbo. mimi inanipa shida kuwa limejirudia katka nyimbo zote mbili kiasi sijui upi ni bado na upi ni kwetuMama hiyo kwenye fasihi inaruhusiwa... kwa lugha ya malkia inaitwa repetition na hufanywa kwa lengo maalumu ila sasa ikifanyika tu pasipo ubunifu uliotukuka ndio inakuwa inaleta shida kwenye masikio ya msikilizaji kama wewe ilivyotokea kwako. Wamesema buana ni vile tu madogo hawana vipaji ndo maana inakuwa hivyo
Hao ndio wakina nani?
Tufahamu hapa, maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k.
Tumalize ubishi hapa.
Mimi kura yangu kwa RAYMOND.
View attachment 345132
Hao vijana ni wakina nani naomba kufahamishwa
Vilevile ningependa kujua ile kesi ya lugumi imeishia wapi?!
Hahahahaha bora weweHao ndio wakina nani?
Ndugu yangu unaweza kuona ni Utani lakini ndio ukweli huo sie wengine bongo fleva zilitupita kushoto...tulisha achana nazo tuwaachie Watoto wetu hayo mambo...Umenifurahisha sana, ingawa swali lako ni la kiuchokozi kwani unawafahamu
Ndugu yangu unaweza kuona ni Utani lakini ndio ukweli huo sie wengine bongo fleva zilitupita kushoto...tulisha achana nazo tuwaachie Watoto wetu hayo mambo...