Harmonize "Bado" vs Raymond "Kwetu" - Ipi kali? Tumalize ubishi

Harmonize "Bado" vs Raymond "Kwetu" - Ipi kali? Tumalize ubishi

Raymond vs Harmonize: Wimbo upi mkali?

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Sasa PLATNUMZ hashindanishwi na mtu... ila MAZAO YAKE... he's non comparable. huh
 
kwetu vs lupela/chekecha cheketua/nagharamikia upi mzuri
tumewapa somo muda mrefu...hawa vijana wawe na heshima kwa wakubwa zao... only that they chose to be ignorant.
 
mimi ninashindwa kuzitofautisha hizo nyimbo sijui upi ndio bado na upi ni kwetu, zote neno bado linajirudia rudia kwenye chorus ..sijui ni uzee wangu tu.

Mama hiyo kwenye fasihi inaruhusiwa... kwa lugha ya malkia inaitwa repetition na hufanywa kwa lengo maalumu ila sasa ikifanyika tu pasipo ubunifu uliotukuka ndio inakuwa inaleta shida kwenye masikio ya msikilizaji kama wewe ilivyotokea kwako. Wamesema buana ni vile tu madogo hawana vipaji ndo maana inakuwa hivyo
 
tatizo si kujirudia kwa neno katika wimbo. mimi inanipa shida kuwa limejirudia katka nyimbo zote mbili kiasi sijui upi ni bado na upi ni kwetu
 
Tufahamu hapa, maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k.

Tumalize ubishi hapa.

Mimi kura yangu kwa RAYMOND.

View attachment 345132

Hao vijana ni wakina nani naomba kufahamishwa

Vilevile ningependa kujua ile kesi ya lugumi imeishia wapi?!
 
Umenifurahisha sana, ingawa swali lako ni la kiuchokozi kwani unawafahamu
Ndugu yangu unaweza kuona ni Utani lakini ndio ukweli huo sie wengine bongo fleva zilitupita kushoto...tulisha achana nazo tuwaachie Watoto wetu hayo mambo...
 
Ndugu yangu unaweza kuona ni Utani lakini ndio ukweli huo sie wengine bongo fleva zilitupita kushoto...tulisha achana nazo tuwaachie Watoto wetu hayo mambo...

I am sorry, comrade...nilidhani unatania...hata mimi ni mtu mzima, ila hawa watoto (yaani wanamuziki wa kizazi kipya) huwa nawafuatilia sana... Hawa vijana ni wanamuziki, sijui wanauita bongo fleva...huyu Harmonize ameibuka siku hizi hizi ana wimbo mmoja unaitwa Bado ameupiga au kuuimba pamoja na Diamond...huyu Raymond wimbo wake nimeshausikia ila sijamfuatilia sana kujua ameibuka vipi.
 
Back
Top Bottom