Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
mzee baba uwezo wa kustaaf atautoa wapi labda kustaafu kukaa alipoolewa dada yakeHuwezi ita takataka kitu kinachomlipa mtu millions of money ambazo hadi unastaafu huwezi zipata kwa ngoma yake moja hiyo unayoita ya kukopi brother.
Uelewa wako ni mdogo, Masikioni mwa Watu hayo ni matakataka ya kucopy copy..Huwezi ita takataka kitu kinachomlipa mtu millions of money ambazo hadi unastaafu huwezi zipata kwa ngoma yake moja hiyo unayoita ya kukopi brother.
Unapomwambia mtu uelewa wake ni mdogo unapaswa kujengea hoja maneno yako ili yawe na nguvu, Diamond pesa alizoingiza hadi sasa kutokana na hizo takataka au za ku-copy ni pesa nyingi sana tena sana.Uelewa wako ni mdogo, Masikioni mwa Watu hayo ni matakataka ya kucopy copy..
aiseeUnapomwambia mtu uelewa wake ni mdogo unapaswa kujengea hoja maneno yako ili yawe na nguvu, Diamond pesa alizoingiza hadi sasa kutokana na hizo takataka au za ku-copy ni pesa nyingi sana tena sana.
Wewe usiyefanya takataka umewahi kuhonga hata IST au kulipa kodi ya zaidi ya million 10 kwa mwezi?
Unapoona mwanaume mwenzio kafanya jambo zuri unapaswa kumpongeza na kwenda nae bar mkagonge lager mbili tatu akupe siri na sio kumchawia ili ashuke.
Ruge alikuwa anahitaji heshima akishakupa UmaarufuAlikiba vs daimond now sijui harmonize vs daimond.....nyuma ya mchezo always ni Godfather Kusaga. Aka suge knight.yule jamaa kwa tasnia ya burudani Tanzania watasubiri sana anajua Sanaa cheza na wabongo...humu Ana clouds huku ana wasafi fm ukimnunia huyu utampa huyu mwisho was siku kwote anakula
Ona ulivyo na Mawazo ya kijinga eti umewai kuonga IST sijui milioni 10; kwa hizi shobo akina Juma Lokole mtakua Wengi SanaUnapomwambia mtu uelewa wake ni mdogo unapaswa kujengea hoja maneno yako ili yawe na nguvu, Diamond pesa alizoingiza hadi sasa kutokana na hizo takataka au za ku-copy ni pesa nyingi sana tena sana.
Wewe usiyefanya takataka umewahi kuhonga hata IST au kulipa kodi ya zaidi ya million 10 kwa mwezi?
Unapoona mwanaume mwenzio kafanya jambo zuri unapaswa kumpongeza na kwenda nae bar mkagonge lager mbili tatu akupe siri na sio kumchawia ili ashuke.
Kuonga = KuhongaOna ulivyo na Mawazo ya kijinga eti umewai kuonga IST sijui milioni 10; kwa hizi shobo akina Juma Lokole mtakua Wengi Sana
Kama Maprofesa na wanachapia Unashangaa nini?Kuonga = Kuhonga
Kuandika kwa ufasaha kwenyewe ni tatizo kwako haya mambo hutayaweza.
Let's end this here! Kwaheri
Wewe jamaa kwa kutoka mapovu ujambo chakushangaza hata kwenye mambo madogoKama Maprofesa na wanachapia Unashangaa nini?