Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

Huwezi ita takataka kitu kinachomlipa mtu millions of money ambazo hadi unastaafu huwezi zipata kwa ngoma yake moja hiyo unayoita ya kukopi brother.
mzee baba uwezo wa kustaaf atautoa wapi labda kustaafu kukaa alipoolewa dada yake
 
Huwezi ita takataka kitu kinachomlipa mtu millions of money ambazo hadi unastaafu huwezi zipata kwa ngoma yake moja hiyo unayoita ya kukopi brother.
Uelewa wako ni mdogo, Masikioni mwa Watu hayo ni matakataka ya kucopy copy..
 
Watoto hao wote baba yao ni mmoja...
Screenshot_20200323-141757_YouTube~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uelewa wako ni mdogo, Masikioni mwa Watu hayo ni matakataka ya kucopy copy..
Unapomwambia mtu uelewa wake ni mdogo unapaswa kujengea hoja maneno yako ili yawe na nguvu, Diamond pesa alizoingiza hadi sasa kutokana na hizo takataka au za ku-copy ni pesa nyingi sana tena sana.

Wewe usiyefanya takataka umewahi kuhonga hata IST au kulipa kodi ya zaidi ya million 10 kwa mwezi?
Unapoona mwanaume mwenzio kafanya jambo zuri unapaswa kumpongeza na kwenda nae bar mkagonge lager mbili tatu akupe siri na sio kumchawia ili ashuke.
 
aisee
 
Alikiba vs daimond now sijui harmonize vs daimond.....nyuma ya mchezo always ni Godfather Kusaga. Aka suge knight.yule jamaa kwa tasnia ya burudani Tanzania watasubiri sana anajua Sanaa cheza na wabongo...humu Ana clouds huku ana wasafi fm ukimnunia huyu utampa huyu mwisho was siku kwote anakula
 
Ruge alikuwa anahitaji heshima akishakupa Umaarufu
Kusaga anahitaji profit akishakupa umaarufu
 
Unapomwambia mtu uelewa wake ni mdogo unapaswa kujengea hoja maneno yako ili yawe na nguvu, Diamond pesa alizoingiza hadi sasa kutokana na hizo takataka au za ku-copy ni pesa nyingi sana tena sana.

Wewe usiyefanya takataka umewahi kuhonga hata IST au kulipa kodi ya zaidi ya million 10 kwa mwezi?
Unapoona mwanaume mwenzio kafanya jambo zuri unapaswa kumpongeza na kwenda nae bar mkagonge lager mbili tatu akupe siri na sio kumchawia ili ashuke.
Ona ulivyo na Mawazo ya kijinga eti umewai kuonga IST sijui milioni 10; kwa hizi shobo akina Juma Lokole mtakua Wengi Sana
 
Kuonga = Kuhonga
Kuandika kwa ufasaha kwenyewe ni tatizo kwako haya mambo hutayaweza.
Let's end this here! Kwaheri
 
Back
Top Bottom