Harmonize hajafanya ubaya

Harmonize hajafanya ubaya

Barnaba is a real thing [emoji171]thumb up!
Wewe unamjua Barnaba unamsikia, kasilikilize washa ya barnaba alafu ipe opportunity zote kama ilivyopewa kwangwaruu alaf urudi hapa, istoshe barnaba anaimba live na saut yake ni ileile kama unavoisikia kwenye audio ndo anavyoimba live, kitu ambacho harmonize hawez....harmonize aendelee kubaki WCB
 
Sure, umeongea point kubwa sana.

Naunga mkono hoja....
Kwa nini kuondoka Harmonize mnachukulia kama vita.Mimi mwenyewe nafurahi Harmo kujitegemea mwenyewe ,tatizo je amejipanga kwa fitina ?Usimwone Mondi ana shine jua nyuma ana watu wanampigania je yy anao?Kama anao ni kitu kizuri kama hana yy ndiye atakaye umia.Msimwone Belle 9 yupo kimya mkazani hana uwezo bali hana watu wakuupigania mziki wake.
Kuwa chini ya label ni kitu kizuri sana ,haswa kwa wenzetu US,Drake yule pamoja na kuwa na utajiri mkubwa,label yake ya OVO lakini bado yupo chini ya YCMB,we unazani kwa nini Drake hajaondoka YCMB label ya Lil Wyne na Birdman?

Kanye west ana label ya Good Life,ana brand ya Yeezy ambayo thamani yake ni zaidi ya USD 1 bilion,lakini pamoja na utajiri wake bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,hujajiuliza kwa nini Kanye bado yupo chini ya Roc nation?

Rihanna sasa hivi networth yake USD 600m baada kama ya miaka mitatu au miwili atakuwa na USD 1bil ,lakini bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,wewe unazani kwanini Rihanna,Drake,Kanye West na hata Nick Minaj pamoja na utajiri wao lkn bado wapo chini ya label?

Label zina umuhimu wake sana sababu katika Industry hizi za Music kuna FITINA na KUBANIANA ,kwani kuna watu wakali lkn hawana watu wa kupush mziki wao.

Miaka ya nyuma kulikuwa na mwanamziki wa RnB Bob Valentino alivuma sana alipokuwa chini ya DTP Ludacris,baadaye akaondoka akamwambia Luda anataka kujitegemea,baada ya hapo Bob V akapotea mazima.
Vile vile kulikuwa na Rapper Chingy nae alikuwa DTP akazinguana na Luda,akwambia yeye anaondoka anataka kujitegemea Ludacris kamruhusu nae akapotea mazima
na nasikia hata Runtown wa Nigeria kapotea baada ya kuondoka kwenye Label.

Kuanzisha label au kujitegemea sio swala baya kwani hata yy anaweza wafungulia mlango wengine,lkn je amejipanga,mziki huu mgumu kwani umejaa fitina ,unahitaji watuwanaojua industry ili upush kazi zako.

Na ndio maana pamoja na kuwa na mihela yao wakina Rihanna,Kanye,Drake na Nick Minaj bado wapo chini ya Label.

Na Mziki wa Tz sasa hivi una hali mbaya yaani washikadau wamewagawa mashabiki,siku hizi team za kwenye mziki wetu,hazina utofauti na ushabiki wa Simba na Yanga,ili upate support unatakiwa uwe ndani ya hizi team,ukiwa nje umekwisha mfano tu Baraka da prince na Mavoko tushaanza kuwasahau.
 
Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi mana yeye sio muimbaji wa nyegezi ao vumbi ...ndo msani peke wa bongo anaye imbaga vya kueleweka tena vya mana jama kasimama imara ..haitaji wcb fan kwa kutoboa mana huko south Sudan kajaza na Kenya huwa anajaza so riziki agawa Mungu sio hivyo vi team uchwara vinavyo ongeya nonsense ... Harmonize atabaki kuwa Harmonize ... Dogo wametaka kumziwiya kutoa ngoma ..matatizo yote yalitokeya wakati wa ngoma za EP aliyo mshirikisha burnaboy inama na niteke ..wcb wamezichelewesha sana hadi ikawa ugomvi mana walikuwa hawataki mpinzani wa tetema na nyegezi ... Kiukweli Domo keshapata sana tu ila jama Ana tama sana ... Hadi goma lake lichache ndo aachiye wengine watowe ... harmonize ni level nyengine sio kama Kina rayvan na mbosso ...Jama yuko makini sana na ata washangaza sana .. ipo siku tutamuelewa ...Go go jeshi KondeBoy
Shauri yenu. Mavoko Yuko wapi? Anajuta Sasa.
 
ni kweli harmonize yuko vizuri sana

ila amekuzwa na kulelewa na WCB na Diamond, mkubwa ni mkubwa tu

Diamond naye kalelewa na kupata mpenyo kupitia Ali kiba na Bob junior

mnaendelea kutengeneza historia za watu kufarakana

He is better in WCB, maana nje ya jeshi yeye hajazoea....Harmonize hawezi hustle kama akin ASLAY, BARNABA n.k
Ataweza mchezo wa Mombasa kweli!? Kiba na joho. Na tuhuma za Madawa ya kulevya. Serikali ya KENYA wanafuatilia
 
wewe haujui mzika ndiyo maana unaleta ujinga wako hapa barnaba mziki wa kusomea umlinganishe na harmonize pure talent itakuwa tezi dume inakuwasha barnaba level yake ni kina Bestnaso
Ndug kama umeshindwa kutoa hoja ni Bora ungepuuzia comment yangu ukapita kimya kimya, sasa mambo ya kutukanana yametoka wapi tena, wewe kama unaujua mziki kulikuwa hakuna haja ya kutukana, jarbu kuwa na busara na hekima
 
Harmonize hawezi tetereka bwana. Harmonize ndo the best kuliko hata Domo kwa sasa. Wangekuwa hawatowi nyimbo kwa kupangiwa yaani Harmo angeshampoteza kabisa Domo.
Sawa lakini timu ya Wasafi ni muhimu kwake ,mbona Barnabas ni mzuri sana lakini hana ukubwa
 
UTASIKIA KAANZISHA KONDE BOY CLASSIC BABY (KBCB) 😎
 
Umeongea vizur sana ila umekosea tu ulivyosema amepitia kupitia kwa alikiba hicho ni kichekesho kwelkwel members wa jamiiforum watakucheka alafu pia kwa Bob junior alikuwa anatoa hell ili afanye ngoma na kumbuka pia ngoma kali alizokuwa ana to diamond kwenye studio ya Bob junior ndio iliyofanya ile studio iwe kubwa Sana ndomaana alivyoonda tu diamond ile studio ilipungua kwa umaarufu je Sasa hiv ikowapi?

mkuu hiyo studio ya bib junior MD wake alikuwa Ali Kiba, aliyekuwa anatoa authorisation za nani arekodi ni ali kiba

sasa sijui nani anachekwa hapa!, unajua kuna kitu haukijui wengine wanakijua mkuu!

check again your information, Bob junior was in operation ndugu
 
wewe haujui mzika ndiyo maana unaleta ujinga wako hapa barnaba mziki wa kusomea umlinganishe na harmonize pure talent itakuwa tezi dume inakuwasha barnaba level yake ni kina Bestnaso
We jamaa unachekesha sana!! Serious unaamini Harmonize ni mkali kuliko Barnaba?! Yaani Harmonize huyu huyu ambae ni clone ya Diamond?!
 
Siku akitoka WCB huyo harmonize atasahaulika.

Mjazeni kichwa Kama mlivyofanya kwa mavoko.Mziki ni zaidi ya kuwa na uwezo wa kufanya mziki mzuri, maana hata huyo Harmonize hawezi gusa Moto wa watu Kama Been pol na Belle 9. japo Kibiashara anawakimbiza.
Bele9 kati ya vijana wanaoniumiza sana kila naposikiliza kazi zake halaf naangalia mafaniko yake.Haviendan.Dogo ana uwez mkubwa sana lakin nashindwa kujua wp anakwama.
Nilisikitika zaid siku naenda zangu Tabora mwaka jna nimepanda basi Kisbo kufika moro Belle 9 kaingia alikua anaenda dodoma.!!nikaona duh..moro to dom kwel msanii anashindwa vipi ku drive ndinga ake??nikaona kwel sanaa kazi.
Vijaa wanaonekana wanapiga kaz lakin sijui pesa wanapeleka kwa nani..
 
Duuuh! hilo limenishangaza nilijua Belle 9 hana mafanikio ukilinganisha na uwezo wake.Lakini suala la yeye kupanda public transport sikulitarajia.

Lakini ndio mziki wenyewe.
 
Duuuh! hilo limenishangaza nilijua Belle 9 hana mafanikio ukilinganisha na uwezo wake.Lakini suala la yeye kupanda public transport sikulitarajia.

Lakini ndio mziki wenyewe.
Ndio hivyo mzee trust me.nilikaa nae sit moja sema sikumshobokea maana same day ubungo nilikua nimetoka kupigwa simu yangu mpyaaa...ahahahahhhhahaj
 
ni kweli harmonize yuko vizuri sana

ila amekuzwa na kulelewa na WCB na Diamond, mkubwa ni mkubwa tu

Diamond naye kalelewa na kupata mpenyo kupitia Ali kiba na Bob junior

mnaendelea kutengeneza historia za watu kufarakana

He is better in WCB, maana nje ya jeshi yeye hajazoea....Harmonize hawezi hustle kama akin ASLAY, BARNABA n.k
Ahaaaah Ali kiba huyo mzee wa miaka 40 umasema kamlea na kumkuza diamond come on dumpist!!!
 
Watu wanashangaza sana, harmonize kutoka wcb sio jambo baya, ni jambo jema sana, aende afungue brand yake akue sio akae anategemea share tu kutoka kwa mtu mwingine, anatakiwa a-own brand yake 100% alete competition sio nchi nzima kua monopolized na wcb peke yake.

Ambaye anapinga kitendo cha harmonize bila shaka ni masikini au anatemgemea mshahara tu kila mwisho wa mwezi, in short wasio na akili ya kukaa wanafikiria cha kufanya ili wazidi kupanda zaidi. Wapo waliomsema platnumz enzi hizo yupo chini ya kiba, leo hii huwezi hata walinganisha, jamaa ametambaa akaanza kutembea sasa hivi anapaa kiba yuko palepale. Harmonize inabidi ale vichwa, ikiwezekana aje na brand kubwa zaidi ya wcb.
Hivi we unatumia kigezo gani kuwa diamond alishakuwa chini ya kiba go to hell brother.
 
Harmo
Fans wake 90% ni wa wcb.
Style yake na flow zake ni copy kutoka kwa mond
Connection zote na international artist ametengenezewa
Bila kusahau harmo alijifanya front line kuwatukana clouds media

Zikifanyika fitna hatoboi coz hata kipaji chake ni cha kuunga unga
Uwez mfananisha
Hata na mavoko
Sema walimbrand sana kuprove watu wrong kwamba mzik n zaid ya kipaji
Kipnd anatoka
Ni rahis sana kwa vanny boy kujitegemea kimziki kuliko harmonize
Siku zikienda mtaelewa
 
Kwa nini kuondoka Harmonize mnachukulia kama vita.Mimi mwenyewe nafurahi Harmo kujitegemea mwenyewe ,tatizo je amejipanga kwa fitina ?Usimwone Mondi ana shine jua nyuma ana watu wanampigania je yy anao?Kama anao ni kitu kizuri kama hana yy ndiye atakaye umia.Msimwone Belle 9 yupo kimya mkazani hana uwezo bali hana watu wakuupigania mziki wake.
Kuwa chini ya label ni kitu kizuri sana ,haswa kwa wenzetu US,Drake yule pamoja na kuwa na utajiri mkubwa,label yake ya OVO lakini bado yupo chini ya YCMB,we unazani kwa nini Drake hajaondoka YCMB label ya Lil Wyne na Birdman?

Kanye west ana label ya Good Life,ana brand ya Yeezy ambayo thamani yake ni zaidi ya USD 1 bilion,lakini pamoja na utajiri wake bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,hujajiuliza kwa nini Kanye bado yupo chini ya Roc nation?

Rihanna sasa hivi networth yake USD 600m baada kama ya miaka mitatu au miwili atakuwa na USD 1bil ,lakini bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,wewe unazani kwanini Rihanna,Drake,Kanye West na hata Nick Minaj pamoja na utajiri wao lkn bado wapo chini ya label?

Label zina umuhimu wake sana sababu katika Industry hizi za Music kuna FITINA na KUBANIANA ,kwani kuna watu wakali lkn hawana watu wa kupush mziki wao.

Miaka ya nyuma kulikuwa na mwanamziki wa RnB Bob Valentino alivuma sana alipokuwa chini ya DTP Ludacris,baadaye akaondoka akamwambia Luda anataka kujitegemea,baada ya hapo Bob V akapotea mazima.
Vile vile kulikuwa na Rapper Chingy nae alikuwa DTP akazinguana na Luda,akwambia yeye anaondoka anataka kujitegemea Ludacris kamruhusu nae akapotea mazima
na nasikia hata Runtown wa Nigeria kapotea baada ya kuondoka kwenye Label.

Kuanzisha label au kujitegemea sio swala baya kwani hata yy anaweza wafungulia mlango wengine,lkn je amejipanga,mziki huu mgumu kwani umejaa fitina ,unahitaji watuwanaojua industry ili upush kazi zako.

Na ndio maana pamoja na kuwa na mihela yao wakina Rihanna,Kanye,Drake na Nick Minaj bado wapo chini ya Label.

Na Mziki wa Tz sasa hivi una hali mbaya yaani washikadau wamewagawa mashabiki,siku hizi team za kwenye mziki wetu,hazina utofauti na ushabiki wa Simba na Yanga,ili upate support unatakiwa uwe ndani ya hizi team,ukiwa nje umekwisha mfano tu Baraka da prince na Mavoko tushaanza kuwasahau.
Hao wa tz wananyonywa sana....
 
mkuu hiyo studio ya bib junior MD wake alikuwa Ali Kiba, aliyekuwa anatoa authorisation za nani arekodi ni ali kiba

sasa sijui nani anachekwa hapa!, unajua kuna kitu haukijui wengine wanakijua mkuu!

check again your information, Bob junior was in operation ndugu
Kwamba sharobalo records ilikuwa ya ali kiba? Yote hiyo kujaribu kuonyesha kiba amemtoa diamond hahahaha imebidi nicheke tu
 
Back
Top Bottom