Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ni umaga hivyo hivyoSio umaga, ni Omega.
Umewaza mbali sanaKitambi kukipata ni rahsi , Ila kukitoa ni mtiti
Hapana Arnold na Rambo umri umewatupa mkono both of 'em wanamiaka 70+ unategemea waendelee kuwa vilevile.mwangalie Rambo au Swarchznegger miili imetepeta kama wamemwagiwa mafuta
Bibie hilo jina la Samoans, Umaga ndio sahihi.Sio umaga, ni Omega.
Ndio maana mnyakyusa wa wasafi anacho na ana kovu pia πππKitambi kukipata ni rahsi , Ila kukitoa ni mtiti