Harmonize hana haja ya kuwa na baunsa sasa...

Harmonize hana haja ya kuwa na baunsa sasa...

Harmonize anatumia dawa zakusisimua misuli ndo mana anaonekana amevimba sana hizi dawa zina madhara meng sana mwangalie Rambo au Swarchznegger miili imetepeta kama wamemwagiwa mafuta
Hao umri umeshawatupa mkono angalia age yao; Sylvester Stallone Born: July 6, 1946 (age 75 years), Hell's Kitchen, New York, United States na Arnold Alois Schwarzenegger is an Austrian-American Born: July 30, 1947 (age 73 years), Thal, Austria
 
Hapana Arnold na Rambo umri umewatupa mkono both of 'em wanamiaka 70+ unategemea waendelee kuwa vilevile.
Kaka unakumbuka Anorld wakat anashinda Mr universe? Zilitoka lawama kuwa hakustahili mana alikua anatumia stereiods
 
Hivi vidonge steroids na mambo ya protein supplements zitakuja kumfanya apate heart attack
Na bongo vimeingia sana zile supplements au wanaita vumbi ni kama maziwa una mix mseto wako unabugia unaanza kuvimba,ila side efffects ni kubwa sana ikiwemo IMPOTENCE na heart attack
 
Hebu tumuone mwalimu wake sasa tusiangalie upande mmoja wa samaki The Icebreaker
d9ad775c415fc01ebfdf5e22af06f9c7.png

 
Back
Top Bottom