Harmonize hana haja ya kuwa na baunsa sasa...

Mwacheni n'chumali mbona Busta rymes Ni msanii na ni kipande
 
Hivi Hamo ndo alianguka na makalio uwanjani akijaribu kuiga kazi za watu??😂
 
Hivi usanii na uhuni vinaweza kutenganishwa na vikatenganishika?,hasa usanii wa kuimba
 
hivi vijamaa viwili huwa naviona vishamba sana, ila shule ni kitu cha muhimu sana hata kama pesa huna za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…