Harmonize hawezi baki salama ana talent kubwa

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Naingia moja kwa moja.

Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo.

Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr Harmo amefikia viwango vya hatari sana. Nimetoka kuangalia video yake: MWENYEWE, ameachia masaa machache yaliyopita huko YouTube, nimejiridhisha kwa masikio yangu mimi mwenyewe kwamba sio akili ya kawaida inaweza kuzalisha mashairi hayo kwa ubunifu.

Kuna namna ambayo sio salama anatumia huyu jamaa ... Tuombe hicho kinachompa uwezo huo wa ubunifu asiwe mwanamke, k.... Wala asiwe shetani maana inashindikana kabisa kuzuia kutikisa kichwa usikilizapo mashairi yake, ni matamu mno.
 
Hatuwezi jua inawezekana we n konde boy ....then umekuja kuji promo
 
Hamna uchawi wala nn. Harmo toka aondoke wcb ametengeneza ngoma nyingi sana, na ukiangalia trend yake alianza kama anafeli hv lkn akakaza. Ni kawaida kumaster kitu ambacho unakifanya mara kwa mara. Jamaa ana-struggle sana kwa hilo kiukweli apewe pongezi zake tu.

Af ukiunganisha na mjan(kama kweli anatumia) basi mambo fresh kabisa. Kizuri cha bangi ni dawa, ni sacred weed pia with amazing spiritual powers.
 
Jani lake ni kama la Burna boy ndio maana mangoma yake ni hit song tu
 
Konde anaweza ni mashabiki maandaliz ndo wanajaribu kumdiss lakin ukwel wanaujua kua jamaa ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mwenyewe +never give up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…