Lakini ilitakiwa tuidumishe hii tamaduni maana ndo pekee hututangaza. Huku kuiga kwingi kutoka kwa wadhungu kutaleta matatizo huko mbele. Ni bora kuigana wenyewwHahaha
wanavaa kwa uchache haswa wakiwa wazee
Sana sana bangli na shanga nyingne
Hapa ni kutokana na maisha ya sasa kama kwenda shule so watoto hawawez kwenda na heren shule
Amebana tu mwili wake na suruali nyembamba na nyepesiVipi bangili je? hakuvaa
Ila sikufichi hata kama amesafiri masai ukirudi nyumbani unatakiwa uende ful maasai kwa hyo hata kama mjin havai shanga,nguo unakuta kaziifadh wakati anarudi kwao anazivaaLakini ilitakiwa tuidumishe hii tamaduni maana ndo pekee hututangaza. Huku kuiga kwingi kutoka kwa wadhungu kutaleta matatizo huko mbele. Ni bora kuigana wenyeww
HahahapgaWanaume wa Dar mna matatizo sana.
Huyu sio kulingana na mkuu hapo ju ni wa mtwarawanaume wa darisalama
hivi kwanini wanavaa heleni?Huyu sio kulingana na mkuu hapo ju ni wa mtwara
Nimeshangaa kweli leoIna maana wanaume wa DAR wakisahau hereni wanageuza hadi gari kurudi kuvaa hereni...??!!! hahahahahaha!
Wanataka wapendeze kama sisihivi kwanini wanavaa heleni?
ShangaNimemskiliza hapa nikasema hvi kabla hajaanza kuimba hobi yake ilikua kuvaa nini?
Astakafirah *100Anakwambia hawezi bila hereni
Teh Teh...Ina maana wanaume wa DAR wakisahau hereni wanageuza hadi gari kurudi kuvaa hereni...??!!! hahahahahaha!
WEWE FUTA KAULI.wanaume wa mtwara nao wamo
ANATAKA KUTUTIA AIBU MASHABABI WA " MTWIZ "Hahahapga
Huyu wanadai wa mtwara "ntwara"