nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Lakini ilitakiwa tuidumishe hii tamaduni maana ndo pekee hututangaza. Huku kuiga kwingi kutoka kwa wadhungu kutaleta matatizo huko mbele. Ni bora kuigana wenyewwHahaha
wanavaa kwa uchache haswa wakiwa wazee
Sana sana bangli na shanga nyingne
Hapa ni kutokana na maisha ya sasa kama kwenda shule so watoto hawawez kwenda na heren shule