Harmonize: Hereni ni hobby

Avae na zile cheni za miguuni na kiunoni amalize kazi.

Alafu azidi kulamba lamba midomo yake kama yule ndomo
 
mambo ya kuiga kilakitu. je huko kijijini kwao alikuwa anavaa?.kwa mwendo huo mda simrefu ataanza kujichubua alafu atakuja kusema anakunywa maji mengi
 
Ni mambo ya umaarufu natamani nione picha za Hio hobi kabla hajawahi harmo
 
Kuna kawimbo kashirikishwa Diamond kanapigwa sana sasahivi nimeshindwa kukajua embu wale wenye kujua huo wimbo wanitajie maana nimeusaka sana jina silijui
 
Kuna kawimbo kashirikishwa Diamond kanapigwa sana sasahivi nimeshindwa kukajua embu wale wenye kujua huo wimbo wanitajie maana nimeusaka sana jina silijui
Wanaume wa Dar wanakaita #bado..sijajua wanaume wa Ntwara wana kaitaje?
 
mambo ya kuiga kilakitu. je huko kijijini kwao alikuwa anavaa?.kwa mwendo huo mda simrefu ataanza kujichubua alafu atakuja kusema anakunywa maji mengi
hapana sa hv atasingizia joto limeongezeka ndo maana kawa mweupeee[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
huyo dogo hata darasa la saba hakumaliza. Si kosa lake.
 
Wabongo mpaka kufikia level ya south Africa kimaendeleo bado sana.. Hauwezi ukawa unafatilia mambo ya kijinga kama hayo.. Yaani mtu kusema kuwa kuvaa heleni ni hobby yake ndio imekuwa topic ?!.. Kwakweli wabongo hatutaendelea mpaka tubadili mentality zetu.. [emoji33] [emoji33]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…