masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #41
UwendaShanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UwendaShanga
Hahaha na nuh mziwanda nae anayo ya kwake kama ile ya ng'ombe makubwa ya roundOmmy ni mwanaume wa Dar
Harmonize ni mwanaume wa Mtwara..
Teh Teh..
Atakua wa wapi sasaWEWE FUTA KAULI.
YULE SIO MWANAUME WA MTWARA TENA,
TUMEMFUTA KWA HIZO ELEMENTS ZAKE ZA AJABU!
Tena zote mbili zimeninginia anakwambia asipovaa anajisikia vbaya
Ni list kubwa wasani wanavaa heren,tena mbili na kuninginia
Ila huyu kijana kanishangaza
Eti hobi
Akihojiwa eatv fnl
Akapata sapoti ya dj ommy crayz nae anadai kuna siku alisahau kuvaa hereni akageuza gari kurudi kuvaa
Avae kikuku?Avae na zile cheni za miguuni na kiunoni amalize kazi.
Alafu azidi kulamba lamba midomo yake kama yule ndomo
Wanaume wa Dar wanakaita #bado..sijajua wanaume wa Ntwara wana kaitaje?Kuna kawimbo kashirikishwa Diamond kanapigwa sana sasahivi nimeshindwa kukajua embu wale wenye kujua huo wimbo wanitajie maana nimeusaka sana jina silijui
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tukisema walete mafuta mnauliza yann, asa mambo gan hii
Mkuu nao wapo ukanda wa pwaniwanaume wa mtwara nao wamo
Nazani utakua sio huo, nnaoulizia Diamond kashirikishwa na msanii wa nnje nazani sio mtanzaniaWanaume wa Dar wanakaita #bado..sijajua wanaume wa Ntwara wana kaitaje?
kapotezwa na wa darHuyu sio kulingana na mkuu hapo ju ni wa mtwara
hapana sa hv atasingizia joto limeongezeka ndo maana kawa mweupeee[emoji4] [emoji4] [emoji4]mambo ya kuiga kilakitu. je huko kijijini kwao alikuwa anavaa?.kwa mwendo huo mda simrefu ataanza kujichubua alafu atakuja kusema anakunywa maji mengi
Hahahapga
Huyu wanadai wa mtwara "ntwara"
Wabongo mpaka kufikia level ya south Africa kimaendeleo bado sana.. Hauwezi ukawa unafatilia mambo ya kijinga kama hayo.. Yaani mtu kusema kuwa kuvaa heleni ni hobby yake ndio imekuwa topic ?!.. Kwakweli wabongo hatutaendelea mpaka tubadili mentality zetu.. [emoji33] [emoji33]Tena zote mbili zimeninginia anakwambia asipovaa anajisikia vbaya
Ni list kubwa wasani wanavaa heren,tena mbili na kuninginia
Ila huyu kijana kanishangaza
Eti hobi
Akihojiwa eatv fnl
Akapata sapoti ya dj ommy crayz nae anadai kuna siku alisahau kuvaa hereni akageuza gari kurudi kuvaa
Mtwara wapo strongAfu hilo jina lake lenyewe kama linahusiana na hayo mambo!!!