masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #61
kama kuvaa hereni ndo kufika level za kimataifa olver mtukuzi usingemfahamWabongo mpaka kufikia level ya south Africa kimaendeleo bado sana.. Hauwezi ukawa unafatilia mambo ya kijinga kama hayo.. Yaani mtu kusema kuwa kuvaa heleni ni hobby yake ndio imekuwa topic ?!.. Kwakweli wabongo hatutaendelea mpaka tubadili mentality zetu.. [emoji33] [emoji33]
Nimegundua ni mbovu sana kwenye mahojianohuyo dogo hata darasa la saba hakumaliza. Si kosa lake.
Wekeni picha,wengine hatumjui
Nmezungumzia maendeleo kiujumla na si kwenye mziki pekee.. Ifike kipindi tujue kitu cha kupotezea muda kuchangia.. Sio mpaka issue za mtu kuvaa hereni zituharibie muda.. Wenzio ulaya wameendelea kwa vile wanathamini muda na huwa hawapotezi kwa mijadala isiyo na tija kwa taifa. Mfano hereni anazovaa hermonizer sisi zinatuhusu nini ? Na ndio maana nikasema utajiri huanzia kichwani kwanza na huendelea mpaka kipesa..[emoji57]kama kuvaa hereni ndo kufika level za kimataifa olver mtukuzi usingemfaham
mrisho mpoto asingetambulika mpaka BBC na sehem zingne ulimwenguni
hobby ya hereni na kufika level za juu ni kingne
kipaji chako ndicho kitambulisho chako
huyo chid benzi alietoboa mpaka pua yuko south sasa hvi eh?
nimekutag kwenye huu uzi au kuna mtu kakuita hapa?Nmezungumzia maendeleo kiujumla na si kwenye mziki pekee.. Ifike kipindi tujue kitu cha kupotezea muda kuchangia.. Sio mpaka issue za mtu kuvaa hereni zituharibie muda.. Wenzio ulaya wameendelea kwa vile wanathamini muda na huwa hawapotezi kwa mijadala isiyo na tija kwa taifa. Mfano hereni anazovaa hermonizer sisi zinatuhusu nini ? Na ndio maana nikasema utajiri huanzia kichwani kwanza na huendelea mpaka kipesa..[emoji57]
Sasa kama nisingezungumza hapa ungenielewa kama ulivyonielewa ?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimekutag kwenye huu uzi au kuna mtu kakuita hapa?
Wakat unafungua huu uzi nakuachia coment ndefu kuliko za wote hayo yote ukuyawaza?
View attachment 334239
Tena zote mbili zimeninginia anakwambia asipovaa anajisikia vbaya
Ni list kubwa wasani wanavaa heren,tena mbili na kuninginia
Ila huyu kijana kanishangaza
Eti hobi
View attachment 334240
Akihojiwa EATV katika kipindi cha Friday Night Live (FNL) msanii huyo akapata sapoti ya Dj Ommy Crayz nae anadai kuna siku alisahau kuvaa hereni akageuza gari kurudi kuvaa.
unaitwa "Make me Sing" waimbaji ni AKA x DIAMONDNazani utakua sio huo, nnaoulizia Diamond kashirikishwa na msanii wa nnje nazani sio mtanzania
Kazi yenyewe ya uyaya kulea watoto utaishia kukaa uswahilini mbagust huko ule miguu ya kuku mpaka uzeeke
....teh teh teh... masai dada unamuelewa huyu jamaa??Ukishaona mtoto wa kike unaishi uswazi mbagust ujue ushakwama uwe mpole tu
hahaha kweli wanaume wanazidi kupungua ulimwenguni, hivi inakuwaje kijana wa kiume akawa mtumiaji wa mapambo ya kike tena anajitukuza asipovaa hajihisi mtimilifu,Inalilah huu ni msibaAnakwambia hawezi bila hereni