,😂😂😂😂😂 sasa kama kitonga inakutia wazimu beats za Rick Ross zinakuwagaje hapo sikioni mwakoDavido yupo fresh kuna nyimbo inaitwa Osanle niliidownload bahati mbaya nikaja kukuta ipo mwake hatari, labda sababu napenda miziki iwe inadunda kama sasa hivi nimeweka repeat kwenye ngoma ya G Nako - Kitonga...naimagine kama vile nipo kwenye BMW X5 na mabebizz kibao wamevaa swimming costumes pembeni na serengeti lite za moto...
Nyimbo nayoikubali kwa sasa ni ile ya Kiba ndio ina bass hatari...inaitwa "Mbio"Napendaga Nyimbo Zenye Bass Nzito Sio Soft. Ebu Nitajie Unazozijua Nzitafute Mkuu
Hata mm Niko na mtazamo Kama wako aisee.Man unaelekea hutaki kukoselewa manake kila aliyekukosoa, mara umuite Bi Sandra, mara umuite Tanasha!!!
Kuna mtu kakwambia hizo habari za Diamond siku zake zimeisha, na mwenyewe umemuita majina ya kuchukiza! Man, penye kukosolewa kubali kukoselewa! Hebu soma hii habari: Hiyo ni habari ya mwaka 2013, nami kamkumbuka huyo Yahya alisema hayo wakati akihojiwa na EATV. Miaka 6 imepita lakini Diamond aliyesema alikuwa hapewi hata shows za 7 Million, leo hii hata kwa 20 million hapigi show! Na threads za kutabiri kuanguka kwa Diamond zipo hapa JF kwa miaka kadhaa sasa, lakini jamaa yupo pale pale!!!
Hata hivyo, nakubaliana na wewe kwamba Harmonize bila WCB sio Harmonize! Na akitaka asahaulike ndani ya mwaka 1, atoke WCB!
Binafsi, simkubali kabisa Harmonize! Namwelewa zaidi Rayvann ambae yupo unique kuliko Harmonize ambae ni clone ya Diamond! Almost anaiga kila kitu kutoka kwa Diamond!
Hata mm Niko na mtazamo Kama wako aisee.
Rayvanny ndio ana staili ya kipekee hata maudhui yake huwa ni ya kipekee.
Ila sijui kwa nini jamaa havumi Kama harmonize.
Usimponze! Harmonize ni average musician ambae kuna artists kibao nje ya WCB ambao hawafikii hata kwa nusu! Harmonize hana ubavu wa kusimama hata na madogo kama Mario let alone watu kama akina Aslay! Ukiona pamoja na yote hayo lakini bado yeye ndo ana-shine kuliko hao madogo basi ufahamu ni kwa ajili ya WCB!Natamani atoke WCB tushuhudie mtanange
Hata meek mill kaanzisha record lebo yake ila still yuko under maybach music.Kuna wengine wanasema kaanzisha label ya kwake huyo Harmonize inaitwa KONDEGANG japo sina uhakika,Wenye Details mwageni.
Rick Ross sijasikiloza nyimbo zake kipindi kirefu ila ninazo kadhaa mmoja unaitwa Stay Scheming beat nzito dunia nzima rick ross yumo ndani jingine Aston Martin Music,😂😂😂😂😂 sasa kama kitonga inakutia wazimu beats za Rick Ross zinakuwagaje hapo sikioni mwako
Hahah stay schemin kitambo sana! We unaonekana unapenda Afropop zaidiRick Ross sijasikiloza nyimbo zake kipindi kirefu ila ninazo kadhaa mmoja unaitwa Stay Scheming beat nzito dunia nzima rick ross yumo ndani jingine Aston Martin Music
Thanks mdada. Humu tatizo kuna fans ambao hawaelewi wanachokipenda ni nini !!!.. Harmo ni promo na huwa anachukulia ile kukataliwa BSS kama wale watu walikosea waliposema hajui kuimba ila walikuwa MORE THAN RIGHT; yeye kuwa mtoto wa kwanza wa WCB, kuishi kicopy ya diamond in almost EVERYTHING na kupewa more space kuliko wenzie ndio kinachomfanya awe hapo alipo. Truth is Harmo ni brand ya WCB isiyo na nguvu kama watu wanayoifikiria na ni techniques zilizotulia za mapapa wa hii industry ndo zinamfanya awe hapo. ASIJIROGE KUTOKA WCB ATAJUTA KULIKO RICHUsimponze! Harmonize ni average musician ambae kuna artists kibao nje ya WCB ambao hawafikii hata kwa nusu! Harmonize hana ubavu wa kusimama hata na madogo kama Mario let alone watu kama akina Aslay! Ukiona pamoja na yote hayo lakini bado yeye ndo ana-shine kuliko hao madogo basi ufahamu ni kwa ajili ya WCB!
Rick Ross sijasikiloza nyimbo zake kipindi kirefu ila ninazo kadhaa mmoja unaitwa Stay Scheming beat nzito dunia nzima rick ross yumo ndani jingine Aston Martin Music
Thanks mdada. Humu tatizo kuna fans ambao hawaelewi wanachokipenda ni nini !!!.. Harmo ni promo na huwa anachukulia ile kukataliwa BSS kama wale watu walikosea waliposema hajui kuimba ila walikuwa MORE THAN RIGHT; yeye kuwa mtoto wa kwanza wa WCB, kuishi kicopy ya diamond in almost EVERYTHING na kupewa more space kuliko wenzie ndio kinachomfanya awe hapo alipo. Truth is Harmo ni brand ya WCB isiyo na nguvu kama watu wanayoifikiria na ni techniques zilizotulia za mapapa wa hii industry ndo zinamfanya awe hapo. ASIJIROGE KUTOKA WCB ATAJUTA KULIKO RICH
Nyongeza, kwa Tz kwa sasa ni RUBY TU kwa kiasi fulani ndio anahitaji push kidogo kutawala muziki wa bongo maana she is a REAL TALENT
Mimi natumia Poweramp ngoja niione na hio earphone natumia za sony na meizu zinakita hatari natumia hizi sababu sizipendagi zile earphobe za kudidimia ndani ya sikioUnatakiwa u download kitu kinachoitwa Selenium player kisha upate na earphone za maana
earphone ama headphones? Nipatie picha yake tafadhaliMimi natumia Poweramp ngoja niione na hio earphone natumia za sony na meizu zinakita hatari natumia hizi sababu sizipendagi zile earphobe za kudidimia ndani ya sikio
Asante Sana Mkuu Wasauzi Wana Beat Heavy! DahNgoja nikuwekee screenshots uzishushe anza na hio inaitwa Iscathulo -Busiswa ingine inaitwa Sdudla - Winnie Khumalo aisee biti nzito kinoma halafu raha sana kusikiliza nyimbo zingine zinamabiti ya south afrika
Aah Mkuu Ile "mbio" Kiukweli Ina Beat Heavy! Me Naiskilizaga Beat Inanipa Wazimu Sijui Producer Gani Katengeneza?Nyimbo nayoikubali kwa sasa ni ile ya Kiba ndio ina bass hatari...inaitwa "Mbio"
n nan huyo or DanielDah ndo nlkua naiskiliza sa hivi hyo ngoma
Jamaa kapotea vibaya mno
mmmmmh inahitaji ufafanuzi zaidi its another topickumfananisha mboso na Aslay ni kumkosea heshima Aslay,Aslay katengeneza jina yeye kama yeye ila Mboso katengenezwa, so hana jeuri hata ya kumfunga hata kamba ya kiatu Aslay.