Harmonize in WCB

Harmonize in WCB

Davido yupo fresh kuna nyimbo inaitwa Osanle niliidownload bahati mbaya nikaja kukuta ipo mwake hatari, labda sababu napenda miziki iwe inadunda kama sasa hivi nimeweka repeat kwenye ngoma ya G Nako - Kitonga...naimagine kama vile nipo kwenye BMW X5 na mabebizz kibao wamevaa swimming costumes pembeni na serengeti lite za moto...
,😂😂😂😂😂 sasa kama kitonga inakutia wazimu beats za Rick Ross zinakuwagaje hapo sikioni mwako
 
Man unaelekea hutaki kukoselewa manake kila aliyekukosoa, mara umuite Bi Sandra, mara umuite Tanasha!!!
Kuna mtu kakwambia hizo habari za Diamond siku zake zimeisha, na mwenyewe umemuita majina ya kuchukiza! Man, penye kukosolewa kubali kukoselewa! Hebu soma hii habari: Hiyo ni habari ya mwaka 2013, nami kamkumbuka huyo Yahya alisema hayo wakati akihojiwa na EATV. Miaka 6 imepita lakini Diamond aliyesema alikuwa hapewi hata shows za 7 Million, leo hii hata kwa 20 million hapigi show! Na threads za kutabiri kuanguka kwa Diamond zipo hapa JF kwa miaka kadhaa sasa, lakini jamaa yupo pale pale!!!

Hata hivyo, nakubaliana na wewe kwamba Harmonize bila WCB sio Harmonize! Na akitaka asahaulike ndani ya mwaka 1, atoke WCB!

Binafsi, simkubali kabisa Harmonize! Namwelewa zaidi Rayvann ambae yupo unique kuliko Harmonize ambae ni clone ya Diamond! Almost anaiga kila kitu kutoka kwa Diamond!
Hata mm Niko na mtazamo Kama wako aisee.
Rayvanny ndio ana staili ya kipekee hata maudhui yake huwa ni ya kipekee.
Ila sijui kwa nini jamaa havumi Kama harmonize.
 
Hata mm Niko na mtazamo Kama wako aisee.
Rayvanny ndio ana staili ya kipekee hata maudhui yake huwa ni ya kipekee.
Ila sijui kwa nini jamaa havumi Kama harmonize.

Harmonize anaachia content nyingi sana kwa wakati mmoja tofauti na Rayvanny.

Huu mwezi peke yake Harmonize ameonekana kwenye ngoma 5 , ngoma 3 na Q chief, moja na lava lava na nyingine nimeisahau.

Tofauti na Rayvanny ambaye tangia Tetema kazi zake mpya ni 2 tuu, Vumbi Na Girlfriend ambazo zote hazina hata video.

Siku Rayvanny akiamua aachie mawe back to back na yeye ataitawala Youtube (Tz) Labda tuu aachie ngoma pamoja na Platnumz Hapo ndio lazima ujichanganye maana lazima ya Diamond itatrend no 1
 
Natamani atoke WCB tushuhudie mtanange
Usimponze! Harmonize ni average musician ambae kuna artists kibao nje ya WCB ambao hawafikii hata kwa nusu! Harmonize hana ubavu wa kusimama hata na madogo kama Mario let alone watu kama akina Aslay! Ukiona pamoja na yote hayo lakini bado yeye ndo ana-shine kuliko hao madogo basi ufahamu ni kwa ajili ya WCB!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ukweli ni kwamba Hakuna msaani wa kushinda na WCB kwa sasa mavoko ndo kapotea hivyo toka ametoka WCB katoa nyimbo tano ila dah hazisikii. Ukienda kwenye Club or Sehmu za starehe bado wanapiga nyimbo zake wakati akiwa WCB.
 
Harmonize atakuwa kwenye show wasafi festival Mwanza itakayofanyika kesho, anakwea pipa leo kutokea jiji la Maraha Dar es Salaam kuelekea mitaa ya Rockcity...
 
Kuna wengine wanasema kaanzisha label ya kwake huyo Harmonize inaitwa KONDEGANG japo sina uhakika,Wenye Details mwageni.
 
Rick Ross sijasikiloza nyimbo zake kipindi kirefu ila ninazo kadhaa mmoja unaitwa Stay Scheming beat nzito dunia nzima rick ross yumo ndani jingine Aston Martin Music
Hahah stay schemin kitambo sana! We unaonekana unapenda Afropop zaidi
 
Usimponze! Harmonize ni average musician ambae kuna artists kibao nje ya WCB ambao hawafikii hata kwa nusu! Harmonize hana ubavu wa kusimama hata na madogo kama Mario let alone watu kama akina Aslay! Ukiona pamoja na yote hayo lakini bado yeye ndo ana-shine kuliko hao madogo basi ufahamu ni kwa ajili ya WCB!
Thanks mdada. Humu tatizo kuna fans ambao hawaelewi wanachokipenda ni nini !!!.. Harmo ni promo na huwa anachukulia ile kukataliwa BSS kama wale watu walikosea waliposema hajui kuimba ila walikuwa MORE THAN RIGHT; yeye kuwa mtoto wa kwanza wa WCB, kuishi kicopy ya diamond in almost EVERYTHING na kupewa more space kuliko wenzie ndio kinachomfanya awe hapo alipo. Truth is Harmo ni brand ya WCB isiyo na nguvu kama watu wanayoifikiria na ni techniques zilizotulia za mapapa wa hii industry ndo zinamfanya awe hapo. ASIJIROGE KUTOKA WCB ATAJUTA KULIKO RICH

Nyongeza, kwa Tz kwa sasa ni RUBY TU kwa kiasi fulani ndio anahitaji push kidogo kutawala muziki wa bongo maana she is a REAL TALENT
 
Unatakiwa u download kitu kinachoitwa Selenium player kisha upate na earphone za maana
Rick Ross sijasikiloza nyimbo zake kipindi kirefu ila ninazo kadhaa mmoja unaitwa Stay Scheming beat nzito dunia nzima rick ross yumo ndani jingine Aston Martin Music
 
Katika mademu wanao imba bongo kwa sasa hakuna hata mmoja anamfikia Ruby na anakuwa nyoko zaid akipiga live wee ni zaid ya hatar
Thanks mdada. Humu tatizo kuna fans ambao hawaelewi wanachokipenda ni nini !!!.. Harmo ni promo na huwa anachukulia ile kukataliwa BSS kama wale watu walikosea waliposema hajui kuimba ila walikuwa MORE THAN RIGHT; yeye kuwa mtoto wa kwanza wa WCB, kuishi kicopy ya diamond in almost EVERYTHING na kupewa more space kuliko wenzie ndio kinachomfanya awe hapo alipo. Truth is Harmo ni brand ya WCB isiyo na nguvu kama watu wanayoifikiria na ni techniques zilizotulia za mapapa wa hii industry ndo zinamfanya awe hapo. ASIJIROGE KUTOKA WCB ATAJUTA KULIKO RICH

Nyongeza, kwa Tz kwa sasa ni RUBY TU kwa kiasi fulani ndio anahitaji push kidogo kutawala muziki wa bongo maana she is a REAL TALENT
 
Mimi natumia Poweramp ngoja niione na hio earphone natumia za sony na meizu zinakita hatari natumia hizi sababu sizipendagi zile earphobe za kudidimia ndani ya sikio
earphone ama headphones? Nipatie picha yake tafadhali
 
Ngoja nikuwekee screenshots uzishushe anza na hio inaitwa Iscathulo -Busiswa ingine inaitwa Sdudla - Winnie Khumalo aisee biti nzito kinoma halafu raha sana kusikiliza nyimbo zingine zinamabiti ya south afrika
Asante Sana Mkuu Wasauzi Wana Beat Heavy! Dah
 
Nyimbo nayoikubali kwa sasa ni ile ya Kiba ndio ina bass hatari...inaitwa "Mbio"
Aah Mkuu Ile "mbio" Kiukweli Ina Beat Heavy! Me Naiskilizaga Beat Inanipa Wazimu Sijui Producer Gani Katengeneza?
 
kumfananisha mboso na Aslay ni kumkosea heshima Aslay,Aslay katengeneza jina yeye kama yeye ila Mboso katengenezwa, so hana jeuri hata ya kumfunga hata kamba ya kiatu Aslay.
mmmmmh inahitaji ufafanuzi zaidi its another topic
 
Back
Top Bottom