Harmonize in WCB

Harmonize in WCB

Usimponze! Harmonize ni average musician ambae kuna artists kibao nje ya WCB ambao hawafikii hata kwa nusu! Harmonize hana ubavu wa kusimama hata na madogo kama Mario let alone watu kama akina Aslay! Ukiona pamoja na yote hayo lakini bado yeye ndo ana-shine kuliko hao madogo basi ufahamu ni kwa ajili ya WCB!
Akili za dizaini hii ndio zinatufanya tufe masikini .. Walitoka wakina fally ipupa kwa koffi olomide na wanatusua mpaka sasa .. Kufeli kwa rich mavoko baada ya kutoka wcb haimaanishi atakaetoka atafeli pia .. Kila mtu ana njia yake ...

Ukitoa diamond hakuna msanii pale wcb anaerudisha Pesa kiuwekezaji kama harmonize (Naongea coz najua wcb in , out ).. Kafuatilie ile show ya harmonoze pale nchi ya South Sudan (Juba )... Ule umati unaambiwa tangu nchi ipate Uhuru hakujawahi kutokea mkusanyiko Mkubwa kama ule ... Sasa nyie endeleeni kumbeka Konde Boy
 
earphone ama headphones? Nipatie picha yake tafadhali
Mimi natumia earphones ya sony inaitwa MDR-E808, ya meizu haina hata jina hapa sasa hivi ipo mbali earphone za kudidimia ni zile ziazozama ndani ya masikio picha yake kama hii nilioattach..headphones daah hizo sizipendagi kabisa maana sipendani kua na mispika mikubwa...hizo sony nimetumia miaka nenda miaka rudi hazichuji
 
Attachments

  • Screenshot_20190726-122645_AliExpress.jpg
    Screenshot_20190726-122645_AliExpress.jpg
    79.1 KB · Views: 13
Mimi natumia earphones ya sony inaitwa MDR-E808, ya meizu haina hata jina hapa sasa hivi ipo mbali earphone za kudidimia ni zile ziazozama ndani ya masikio picha yake kama hii nilioattach..headphones daah hizo sizipendagi kabisa maana sipendani kua na mispika mikubwa...hizo sony nimetumia miaka nenda miaka rudi hazichuji
Nyingne hii Wizkid-Jah bless
 
Umeandika vizuri ila ulichokosea ni kusema diamond anaelekea mwisho wa career.
Hapo ndipo kaharibu yote aliyoandika.....ukiona msanii anauwezo wa kutoa nyimbo zinashindana zenyewe kwenye chati za juu..halafu unasema anaeleka mwisho basi wewe boya
 
Akili za dizaini hii ndio zinatufanya tufe masikini .. Walitoka wakina fally ipupa kwa koffi olomide na wanatusua mpaka sasa .. Kufeli kwa rich mavoko baada ya kutoka wcb haimaanishi atakaetoka atafeli pia .. Kila mtu ana njia yake ...

Ukitoa diamond hakuna msanii pale wcb anaerudisha Pesa kiuwekezaji kama harmonize (Naongea coz najua wcb in , out ).. Kafuatilie ile show ya harmonoze pale nchi ya South Sudan (Juba )... Ule umati unaambiwa tangu nchi ipate Uhuru hakujawahi kutokea mkusanyiko Mkubwa kama ule ... Sasa nyie endeleeni kumbeka Konde Boy
Huijui music industry ya Tanzania wewe, kwahiyo kaa kimya! Na hapa hatuzungumzii nani anaingiza pesa na nani haingizi pesa! Narudia, huijui music industry ya Tanzania!!!

Eti kufeli kwa Mavoko! Huyo Harmonize amefikia level gani kulinganisha na level ambayo alifikia Juma Nature?! Je, baada ya Nature kutoka kwenye mikono ya wanaojua fitina za muziki wa Tanzania alifanya nini baadae?!

Huyo Harmonize amefikia level gani ukimlinganisha na Jide?! Je, unaweza kumlinganisha Jide aliyekuwa kwenye mikono ya wanaojua fitina za muziki wa Tanzana na Jide mwenyewe?!

Hivi kwa kipaji Harmonize unaweza kumlinganisha na Ruby?! Baada ya Ruby kutoka kwenye mikono inayojua fitina za music industry ya Tanzania alifanya nini?!

Hivi kama kweli unaujua muziki unaweza kumweka kapu moja na Aslay au Beka Flovor?! Nani kati yao ana-shine?!

Narudia, huijui tasnia ya muziki! Kwamba eti unaifahamu WBC in and out mimi hainihusu! Hata Asma Khan na mwenyewe anaijua WCB in and out! Sasa endeleeni kumjaza kama hajarudi kulima kulima ufuta Mtwara! JF hii hii naikumbuka ilivyokuwa inamjaza Ruby lakini kama kawaida, watu tukasema hapa acheni kumjaza Ruby! Kila mmoja sasa, pamoja na watu aina yako wanafahamu Ruby aliishia wapi!!!
 
Kiba atoe nyimbo tu sasa maana naona mmeamua kishabikia WCB Ila sio diamond...[emoji3][emoji3].

Utaulizwa kwa vigezo vip utakosa jibu
Couple ya Harmonize..tajiri kuliko mond
 
Huijui music industry ya Tanzania wewe, kwahiyo kaa kimya! Na hapa hatuzungumzii nani anaingiza pesa na nani haingizi pesa! Narudia, huijui music industry ya Tanzania!!!

Eti kufeli kwa Mavoko! Huyo Harmonize amefikia level gani kulinganisha na level ambayo alifikia Juma Nature?! Je, baada ya Nature kutoka kwenye mikono ya wanaojua fitina za muziki wa Tanzania alifanya nini baadae?!

Huyo Harmonize amefikia level gani ukimlinganisha na Jide?! Je, unaweza kumlinganisha Jide aliyekuwa kwenye mikono ya wanaojua fitina za muziki wa Tanzana na Jide mwenyewe?!

Hivi kwa kipaji Harmonize unaweza kumlinganisha na Ruby?! Baada ya Ruby kutoka kwenye mikono inayojua fitina za music industry ya Tanzania alifanya nini?!

Hivi kama kweli unaujua muziki unaweza kumweka kapu moja na Aslay au Beka Flovor?! Nani kati yao ana-shine?!

Narudia, huijui tasnia ya muziki! Kwamba eti unaifahamu WBC in and out mimi hainihusu! Hata Asma Khan na mwenyewe anaijua WCB in and out! Sasa endeleeni kumjaza kama hajarudi kulima kulima ufuta Mtwara! JF hii hii naikumbuka ilivyokuwa inamjaza Ruby lakini kama kawaida, watu tukasema hapa acheni kumjaza Ruby! Kila mmoja sasa, pamoja na watu aina yako wanafahamu Ruby aliishia wapi!!!
Umeandika ujinga mtupu with so many different scenarios ... Issue za Jide na Juma nature ni irrelevant kwa tunachozungumzia hapa .. Kila msanii ana muda wake , muda ukifika hata kama ni mzuri vipi unapotea tu, its nature .. Kila Kitu kina mwanzo na mwisho ndivyo ilivyokuwa kwa wakina Mr nice., Ali choki , feruz n k ..
Hata diamond na harmonize kuna muda nature itawaondoa sokoni .. Tutapata ladha na wasanii wengine wapya ...

Sasa turudi kwenye mada : nadhani hujui unasinamia nini.. Yani unamlinganisha Beka flavor na harmonize .. Unamlingamisha Aslay na harmonize ?? Hivi unamjua hamornize kweli wewe ?? Unalinganisha wasanii ambao hata kwenye tuzo za channel O bawaonekani .. Unamlinganisha harmonize ambae anaingia kwenye category za tuzo za BET ?? Msanii anaetajwa tuzo MTV ?? Msaani anaetajwa Tuza za trace ??

Msanii Mwenye trend za nyingi naijeria na nchi kibao .. Hebu ingia naija.com uone harmonize anavyozungumzwa ..

Harmonize anapiga show za festival zake na anajaza uwanja wa Nang'wanda Sijaona (Mtwara).. Kitu ambacho huyo rubi , aslay au Beka flavor hata waungane hawawezi kuujaza uwanja wa nang'wanda ...

Unamzungumzia Harmonize msanii ambae ana kolabo za maana Africa na wasanii tele ...

Narudia tena kukwambia pale WCB msanii anaerudisha hela za uwekezaji kwa wcb kuwekeza kwake ni Harmonize tu , hao wengine wote ni tia maji tia maji ... Na Nassib analijua hilo ...

Sadly naongea na mpuuzi ambae wasanii anakutana nao kwenye instagram. Hivi unajua meneja wa harmonize ?? Na unajua kazi yake ??
 
Huyo Ruby hajawahi kupiga show hata Burundi unataka kumlinganisha na Harmonize , una akili kweli wewe ??

Huyo Ruby linganisha na takataka zingine za michiriku ...
 
H

Huyo harmo anafanya vizuri cos yupo ndani ya wcb nje ya hapo utamsahau alafu uwe wa Kwanza kutusumbua kuanzisha thread za anguko la harmonize.Ngojea ni kuambie kitu mziki ni sapoti Leo uimbe kiasi gani km unasapoti utaishia kufeli hapa Tanzania halina msanii yoyote mwenye mashabiki wengi kuliko diamond na ndomaana kila msanii anayesapotiwa na diamond lazima awe mkubwa ndo maana label ya wcb kubwa kuliko label zingine za hapa bongo diamond ametengeneza hiyo empire ndani na nje ndo maana umeona mboso kaja juzi tu wcb lakini sasa hiv anafanya vizuri ndani na nje ya nchi mfano niliangalia mboso show yake aliyofanya Mayotte alijaza ukumbi mzima wenye uwezo wa kuchukua wa2 20000 na zaidi hii yote ameweza cos ya influence ya diamond iki ndio kitu ambao wadau wanasema atakikosa pind atapondoka wcb fans wengi kusapoti Kaz zake Sasa hiv anapata mteremko cos anapata sapoti kubwa ya fans wa wcb ndo ambao ndo hao wa diamond usipoelewa hapa bas utakuwa na matatizo.
 
Can't waste my time arguing with such an imbecile and mediocre mind
 
Sasa kwanini hiyo support haipati Queen Dareeln?? Kwanini hivyo Viwanja havijazi lavalava?? ...

Sijui kama unaelewa logic ya ninachoandika ... Hivi unajua hao wakina mboso platinum ameshawaambia anapoteza hela zake ?
 
Eti mboso anapoteza hela zake hiv kwel we unafuatilia mziki? Mboso Hadi Sasa hiv ana show 15 Hadi December hayo maneno umemsikia wapi diamond amesema? Katika nyimbo zake zote za mboso hakuna hata ngoma moja yenye chini ya views mil 5 utasemaje hairudishii wcb faida? Kama we unafuatilia diamond lini umewahi kumuona diamond anampapromo dada yake? Hata kumzungumzia tu dada yake hamzungumziagi diamond anawapa Sana sapoti kubwa mboso,harmo, lavalava kuliko hata dada yake.Mzee baba usilazimishe vitu mimi na wadau wengine tushakuambia harmo Bila wcb atakuwa km richmavoko na kina belle9.Msanii mwenyewe anaiga kwa boss wake kila kitu kuanzia kuongea,kuimba alafu eti awe mkubwa kuliko boss wake?
 
Umeandika ujinga mtupu with so many different scenarios ... Issue za Jide na Juma nature ni irrelevant kwa tunachozungumzia hapa .. Kila msanii ana muda wake , muda ukifika hata kama ni mzuri vipi unapotea tu, its nature .. Kila Kitu kina mwanzo na mwisho ndivyo ilivyokuwa kwa wakina Mr nice., Ali choki , feruz n k ..
Hata diamond na harmonize kuna muda nature itawaondoa sokoni .. Tutapata ladha na wasanii wengine wapya ...

Sasa turudi kwenye mada : nadhani hujui unasinamia nini.. Yani unamlinganisha Beka flavor na harmonize .. Unamlingamisha Aslay na harmonize ?? Hivi unamjua hamornize kweli wewe ?? Unalinganisha wasanii ambao hata kwenye tuzo za channel O bawaonekani .. Unamlinganisha harmonize ambae anaingia kwenye category za tuzo za BET ?? Msanii anaetajwa tuzo MTV ?? Msaani anaetajwa Tuza za trace ??

Msanii Mwenye trend za nyingi naijeria na nchi kibao .. Hebu ingia naija.com uone harmonize anavyozungumzwa ..

Harmonize anapiga show za festival zake na anajaza uwanja wa Nang'wanda Sijaona (Mtwara).. Kitu ambacho huyo rubi , aslay au Beka flavor hata waungane hawawezi kuujaza uwanja wa nang'wanda ...

Unamzungumzia Harmonize msanii ambae ana kolabo za maana Africa na wasanii tele ...

Narudia tena kukwambia pale WCB msanii anaerudisha hela za uwekezaji kwa wcb kuwekeza kwake ni Harmonize tu , hao wengine wote ni tia maji tia maji ... Na Nassib analijua hilo ...

Sadly naongea na mpuuzi ambae wasanii anakutana nao kwenye instagram. Hivi unajua meneja wa harmonize ?? Na unajua kazi yake ??
Kujibishana na mtu kama wewe ni kupoteza muda manake hata kuelewa huelewi!!! Anapiga shows! Anapiga shows!!Unaambiwa yote hayo ni kwa sababu nyuma kuna watu wanaijua tasnia ya muziki na ndo maana nimekutajia watu kama akina Aslay ambao ni wakali kuliko Harmonize lakini hawapati hizo shows! Matokeo yake unarudia tena yale yale-- oh, anajaza uwanja Nangwanda! Mara anajaza watu sijui wapi sijui!

Wewe tukana tu lakini Harmonize bila WCB si lolote si chochote!\
 
Sasa kwanini hiyo support haipati Queen Dareeln?? Kwanini hivyo Viwanja havijazi lavalava?? ...

Sijui kama unaelewa logic ya ninachoandika ... Hivi unajua hao wakina mboso platinum ameshawaambia anapoteza hela zake ?
Hujui lolote lile, piga kimya!! Umeshaambiwa kwanini Harmonize ana-shine! Kwani kuna aliyesema ha-shine?! Ana-shine na ndo maana anapata shows kuliko huyo Queen Darleen! Na ana-shine kwa sababu yupo WCB! Swallow that facts! Harmonize ni average artists! NI clone ya Diamond kwa kila kitu! Anaiga hadi anakera!
 
Back
Top Bottom