Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Akili za dizaini hii ndio zinatufanya tufe masikini .. Walitoka wakina fally ipupa kwa koffi olomide na wanatusua mpaka sasa .. Kufeli kwa rich mavoko baada ya kutoka wcb haimaanishi atakaetoka atafeli pia .. Kila mtu ana njia yake ...Usimponze! Harmonize ni average musician ambae kuna artists kibao nje ya WCB ambao hawafikii hata kwa nusu! Harmonize hana ubavu wa kusimama hata na madogo kama Mario let alone watu kama akina Aslay! Ukiona pamoja na yote hayo lakini bado yeye ndo ana-shine kuliko hao madogo basi ufahamu ni kwa ajili ya WCB!
Ukitoa diamond hakuna msanii pale wcb anaerudisha Pesa kiuwekezaji kama harmonize (Naongea coz najua wcb in , out ).. Kafuatilie ile show ya harmonoze pale nchi ya South Sudan (Juba )... Ule umati unaambiwa tangu nchi ipate Uhuru hakujawahi kutokea mkusanyiko Mkubwa kama ule ... Sasa nyie endeleeni kumbeka Konde Boy