Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi ndio wafalme wao bwana. Vipi tuendelee kushikilia hapo hapo au tupitishe msamaha?

 
Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi ndio wafalme wao bwana. Vipi tuendelee kushikiria hapo hapo au tupitishe msamaha?
wewe kama nani wa kutoa msamaha, kwan kupiga show za club zimeanza leo?
 
Mpaka wakenya wamewakataa sijui kama watarudia kufanya show Chamwino
 
Sio Kendwa hapo? Inapopigwaga Full Moon Party
 
Back
Top Bottom