Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi ndio wafalme wao bwana. Vipi tuendelee kushikilia hapo hapo au tupitishe msamaha?

Your browser is not able to display this video.
 
wewe kama nani wa kutoa msamaha, kwan kupiga show za club zimeanza leo?
 
Mpaka wakenya wamewakataa sijui kama watarudia kufanya show Chamwino
 
Sio Kendwa hapo? Inapopigwaga Full Moon Party
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…