Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Hakuna ubaya kumkirimu mgeni na kumkaribisha vizuri kwani mafundisho ndivyo yanavyosema .

Harmo japo yupo kwenye njia mbaya(kuomba miziki) ila nilimuona anapotoka zaidi pale alipomsujudia kiumbe mwenzake Madam Ritha


Hiyo ya kumsujudia madame Ritha sijawahi kuiona mkuu
 
Karibu sana Rooobbbbbbeeerrrrrttt

Huwa nawahurumia sana wanaobadili dini ukubwani iwe mkristo au muislam maana anaenda kujifunza utamaduni mpya. Na mbaya zaidi awe kabadili kufata ndoa,mapenzi,ajira etc wanapata tabu sana

Wolper alibadili dini kumfata dalas akaishia kupigwa matukio karudi ukristo,aunt alibadili kufata mume ndoa ikayeya,diva saiv analia tu,flora mvungi kwa hbaba kilishaumana zamaani,zari kwa ivan hadi muda huu haeleweki ni mkristo au muislam.
 
Weraaaaaaah, nimwfurahi mnoo hii couple.
New Robbie in town, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Angekuwa mkristu amebadili kwenda uislam [emoji1787][emoji1787] ungeona , Mashallah Mashallah za kutosha Allah Akbar , karbu Kwenye Dini ya haki , uislam utatawala Dunia , haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiih
 
Harmonize anajua kuteka media, saivi kila habari ni harmonize, Kama ni kick basi hii ni super kick, nakumbuka enzi za diamond na wema.
 
Kiki tu hiyo,

Mkuu mjini ulikuja lini?
 
Nadhani kubadili dini ndio fungu alilopangiwa hata ukifuatilia wapenzi wake wa nyuma kuanzia yule wa Italy, wa marekani na sasa huyu wa shinyanga wote ni wakristu. Hivyo yawezekana kavutiwa na tamaduni za kikristu tangu siku nyingi
 
Chanzo cha taarifa kama ni kweli huyu bwana mdogo hakuwa muislam
 
Unaweza kuta nawe unajibembelezea huko namba -A yako taratiiibu.
Jf bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…