ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Aaaahaha mbususu haina diniNmeona kapiga ishara ya msalabaView attachment 2272036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaahaha mbususu haina diniNmeona kapiga ishara ya msalabaView attachment 2272036
Zari amekua popoKaribu sana Rooobbbbbbeeerrrrrttt
Huwa nawahurumia sana wanaobadili dini ukubwani iwe mkristo au muislam maana anaenda kujifunza utamaduni mpya. Na mbaya zaidi awe kabadili kufata ndoa,mapenzi,ajira etc wanapata tabu sana
Wolper alibadili dini kumfata dalas akaishia kupigwa matukio karudi ukristo,aunt alibadili kufata mume ndoa ikayeya,diva saiv analia tu,flora mvungi kwa hbaba kilishaumana zamaani,zari kwa ivan hadi muda huu haeleweki ni mkristo au muislam.
Aliolewa na yule mumewe walifunga ndoa wakaja pata msala wa kutakatisha feza sjui na kuuza nyumba iliyokuwa imezuiwa kuuzwa na mahakama nafikiri....jamaa akafungwa kajala akaingia mtaani nafikiri ndo alianza rasmi umalayer
Aunt si ametulia zake na yule bwana mdogo wake enh...Karibu sana Rooobbbbbbeeerrrrrttt
Huwa nawahurumia sana wanaobadili dini ukubwani iwe mkristo au muislam maana anaenda kujifunza utamaduni mpya. Na mbaya zaidi awe kabadili kufata ndoa,mapenzi,ajira etc wanapata tabu sana
Wolper alibadili dini kumfata dalas akaishia kupigwa matukio karudi ukristo,aunt alibadili kufata mume ndoa ikayeya,diva saiv analia tu,flora mvungi kwa hbaba kilishaumana zamaani,zari kwa ivan hadi muda huu haeleweki ni mkristo au muislam.
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume.
Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.
Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.
Ama kweli dunia simama nishuke...
Aunt si ametulia zake na yule bwana mdogo wake enh...
Tupeleke kwenye group za umbea hili ni swala binafsi watu wanabadili dini kila siku.
ni mbinu tu ya kibiashara, acheni dogo apige pesa.Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume.
Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.
Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.
Ama kweli dunia simama nishuke...
Amechagua Qummer sio yesuAmechagua fungu jema...
Kwa YESU kila goti litapigwa...
Yeah, what do you think about the power of herbs?I think doesn't lie at all....Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwaNamba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.
Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume [emoji28]
Hela Hela Hela, Atafunga tuHata kama akibadili hawezi funga ndoa na mwanamke aliyekuwa kwenye ndoa yake teyari haipo kwenye ukristu unless her previous husband die. Atafumhishwa ndoa na mchungaji feki labda who knows.
Wee ule mdude ni heavy-duty mpaka mwanamke akubali kuishi naye eti adi kifo kiwatenganishe ujue kajala naye ni pakubwa mnoo