n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Ha ha angeweza pata hata namba D kabisa hapo kutakuwa na namna.Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwaNamba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.
Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume 😅