Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwa Namba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.

Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume 😅
Ha ha angeweza pata hata namba D kabisa hapo kutakuwa na namna.
 
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume.

Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.

Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.

Ama kweli dunia simama nishuke...
Utamu wa mbususu kaka, hujui analewa nini kwenye ile mechi pendwa
 
Hata kama akibadili hawezi funga ndoa na mwanamke aliyekuwa kwenye ndoa yake teyari haipo kwenye ukristu unless her previous husband die. Atafumhishwa ndoa na mchungaji feki labda who knows.
Haijalishi kikubwa kamkubali YESU baas. Safi Kondeboy kufuata kweli.

Jesus first Jesus Forever

Jesus is God

In Jesus we MUST trust
 
Mkristo kubadili kuwa muislam nI kawaida tu. Ila muislam kubadili kuwa mkristo ni bonge la ushindi. Kwani waislamu wanaobadili kwenda ukristo wanaitwa one in a billion. Harmonize ni one in a billion. Mjanja sana kwa Kukwepa moto wa jehanam.

Jesus first Jesus Forever

Jesus is God

IN JESUS WE MUST TRUST
 
Aliolewa na yule mumewe walifunga ndoa wakaja pata msala wa kutakatisha feza sjui na kuuza nyumba iliyokuwa imezuiwa kuuzwa na mahakama nafikiri....jamaa akafungwa kajala akaingia mtaani nafikiri ndo alianza rasmi umalayer
Kwa hyo jmaaa Yuko ndani dadeki walai ikitoka naanza na mmakonde
 
Karibu sana Rooobbbbbbeeerrrrrttt

Huwa nawahurumia sana wanaobadili dini ukubwani iwe mkristo au muislam maana anaenda kujifunza utamaduni mpya. Na mbaya zaidi awe kabadili kufata ndoa,mapenzi,ajira etc wanapata tabu sana

Wolper alibadili dini kumfata dalas akaishia kupigwa matukio karudi ukristo,aunt alibadili kufata mume ndoa ikayeya,diva saiv analia tu,flora mvungi kwa hbaba kilishaumana zamaani,zari kwa ivan hadi muda huu haeleweki ni mkristo au muislam.
Mbna Kama una hbr za umbeumbe za ukweli HV anzisha Uzi bas mkuu
 
Harmonize hatimaye safari yake ya kiimani imejulikana kwani toka mwanzo kabisa dalili zilikuwepo, tazama clip hii

Harmonize - Matatizo

 
Inawezekana kufunga ndoa kanisani hata kama aliolewa ndoa ya kanisani akaachika. mfano mke wa sugu happy alishaolewa ndoa ya kanisani kisha talaka halafu akaenda olewa na sugu kanisani tena katoliki
Mkuu una uhakika na hili kweli? Je kanisa lilikiwa linajua hiki?
 
Kwenye account yake ya instagram ambayo iko verified, pia account ya paula, kajala mwenyewe na esma platnumz! Ziko verified zote!
Kwenye instagram yake kaandika vyema kabisa kuwa yuko tayari hata kufa kwa ajili ya kajala, kesho kutwa anabatizwa!

Tumepoteza mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli, one man down, I repeat, one man down. Over
 
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume.

Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.

Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.

Ama kweli dunia simama nishuke...
Zimeishia hapo tumwache tu
 
Back
Top Bottom