Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Hakuna hata cha mtu kubadilisha dini sijaona shida yenu mnataka mtu aishi mwenyewe nakuwa na kila mtu asiyekuwa na malengo naye ndio furaha ya wanadamu .
 
Karibu sana Rooobbbbbbeeerrrrrttt

Huwa nawahurumia sana wanaobadili dini ukubwani iwe mkristo au muislam maana anaenda kujifunza utamaduni mpya. Na mbaya zaidi awe kabadili kufata ndoa,mapenzi,ajira etc wanapata tabu sana

Wolper alibadili dini kumfata dalas akaishia kupigwa matukio karudi ukristo,aunt alibadili kufata mume ndoa ikayeya,diva saiv analia tu,flora mvungi kwa hbaba kilishaumana zamaani,zari kwa ivan hadi muda huu haeleweki ni mkristo au muislam.
Zari amekua popo
 
Si kweli kwamba baada ya jela ndo alianza umalaya(kajala mwenyewe alisota sana huko jela). Kajala alishawahi toka na petit. Paula mwenyewe kamzaa akiwa sekondari. So tabia kaianza kabla ya ndoa na muoaji alioa akijua kabisa tabia na akili za kajala
Aliolewa na yule mumewe walifunga ndoa wakaja pata msala wa kutakatisha feza sjui na kuuza nyumba iliyokuwa imezuiwa kuuzwa na mahakama nafikiri....jamaa akafungwa kajala akaingia mtaani nafikiri ndo alianza rasmi umalayer
 
Karibu sana Rooobbbbbbeeerrrrrttt

Huwa nawahurumia sana wanaobadili dini ukubwani iwe mkristo au muislam maana anaenda kujifunza utamaduni mpya. Na mbaya zaidi awe kabadili kufata ndoa,mapenzi,ajira etc wanapata tabu sana

Wolper alibadili dini kumfata dalas akaishia kupigwa matukio karudi ukristo,aunt alibadili kufata mume ndoa ikayeya,diva saiv analia tu,flora mvungi kwa hbaba kilishaumana zamaani,zari kwa ivan hadi muda huu haeleweki ni mkristo au muislam.
Aunt si ametulia zake na yule bwana mdogo wake enh...
 
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume.

Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.

Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.

Ama kweli dunia simama nishuke...

Tupeleke kwenye group za umbea hili ni swala binafsi watu wanabadili dini kila siku.
 
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume.

Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.

Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.

Ama kweli dunia simama nishuke...
ni mbinu tu ya kibiashara, acheni dogo apige pesa.

this is his time to shine and make more money.
 
Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwa Namba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.

Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume [emoji28]
Yeah, what do you think about the power of herbs?I think doesn't lie at all....
 
Hata kama akibadili hawezi funga ndoa na mwanamke aliyekuwa kwenye ndoa yake teyari haipo kwenye ukristu unless her previous husband die. Atafumhishwa ndoa na mchungaji feki labda who knows.
Hela Hela Hela, Atafunga tu
 
Back
Top Bottom