Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Hata kama akibadili hawezi funga ndoa na mwanamke aliyekuwa kwenye ndoa yake teyari haipo kwenye ukristu unless her previous husband die. Atafumhishwa ndoa na mchungaji feki labda who knows.
Hivi Kajala alishaolewa rasmi na Baba Paula au walizaa tuu? Ila ni ushenzi wa ajabu mno kubadili dini. Kwa nini wasingefunga ndoa mseto? Hapa ndiyo namdharau huyu Mmakonde. Mimi ni follower wake Ila kwa hili naweza unfolliw kabisa .
 
Wee nae
Sasa maisha yake ya kimapenzi yanahusiana vipi na music wake
 
Hivi Kajala alishaolewa rasmi na Baba Paula au walizaa tuu? Ila ni ushenzi wa ajabu mno kubadili dini. Kwa nini wasingefunga ndoa mseto? Hapa ndiyo namdharau huyu Mmakonde. Mimi ni follower wake Ila kwa hili naweza unfolliw kabisa .
Aliolewa na yule mumewe walifunga ndoa wakaja pata msala wa kutakatisha feza sjui na kuuza nyumba iliyokuwa imezuiwa kuuzwa na mahakama nafikiri....jamaa akafungwa kajala akaingia mtaani nafikiri ndo alianza rasmi umalayer
 
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume.

Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.

Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.

Ama kweli dunia simama nishuke...
Kwani uislam si ni imani au? Endapo ameamua kuamini upande wa pili kuna shida gani?
 
Angekuwa mkristu amebadili kwenda uislam 🤣🤣 ungeona , Mashallah Mashallah za kutosha Allah Akbar , karbu Kwenye Dini ya haki , uislam utatawala Dunia , haha
Hakuna ubaya kumkirimu mgeni na kumkaribisha vizuri kwani mafundisho ndivyo yanavyosema .

Harmo japo yupo kwenye njia mbaya(kuomba miziki) ila nilimuona anapotoka zaidi pale alipomsujudia kiumbe mwenzake Madam Ritha
 
Back
Top Bottom