Harmonize, kabla ya kutoa nyimbo zako za Kiingereza pitia kwanza kabla hujautoa

Hoja yangu iko katika wimbo wa "one night STAND" Kutokana na ujumbe uliokuwemo kwenye huo wimbo hakutakiwa kutamka "One night STEND" kufanya hivyo amepotosha maana ya wimbo. Inatakiwa itamkwe "One night STAND"
Hata hivyo hakukuwa na haja ya kutumia kingereza muziki ili ufike mbali hauhitaji lugha ni utunzi mahiri na melody Kali!
 
Lugha zote duniani zina kitu kinaitwa mother tongue

Tanzania tunaongea kiswahili nchi nzima..

Ila mmakonde akitamka neno la kiswahili hafanani na mkurya akitamka neno hilo hilo..

Mpemba akitamka neno hafanani na msukuma akitamka neno hilo hilo.

Sasa msimlazimishe harmonize atamke kiingereza sawa sawa na muingereza..

Mbona wa nigeria lugha yao english ila bado wanatamka vibaya kuliko waingereza..

Muhimu ni ujumbe ufike.. mambo ya matamshi sio ishu.

Dogo mziki ni kazi yake.. na soko la mziki linalipa sana nje ya Tanzania.. mwacheni aimbe kiingereza ili apate wateja wapya wa muziki wake wasioelewa kiswahili
 
Lugha hai make sense kwenye muziki, yule dogo wa Angola Cabo snop alikua ana imba vitu havieweki watu wana bang tu , Makhirikhiri the same story
 
Tatizo la kung'ang'ania ngeli ya kufundishwa darasani ndo linawatesa wengi.. kongole kwa mmakonde
 
Kuna uzi nimeona komenti ya hivi, ghafla imenyakuliwa na kufanywa uzi.

Uzi tayari!!
 
Tumpongeze tu pamoja na kumkosoa kwa kumwelekeza, kwa shule gani hata mtarajie unyoofu wa lugha!!

Pongezi kwa ujasiri, na kwa demu wake mzungu.
 
Hoja yangu iko katika wimbo wa "one night STAND" Kutokana na ujumbe uliokuwemo kwenye huo wimbo hakutakiwa kutamka "One night STEND" kufanya hivyo amepotosha maana ya wimbo. Inatakiwa itamkwe "One night STAND"

Duh wabongo At work
 
Kingereza chenyew cha a go lavyu ma bebe
769A0677-FE7B-4294-8330-2B5A89B563A2.jpeg
 
Back
Top Bottom