Harmonize kashatoka kimaisha hawezi kurudi nyuma

happy birthday tamu kuliko kamwambie,atarudi na ukimuona zote mulemule

Mkuu ni haki yako kutoa maoni.

Ila kwenye kulinganisha nyimbo kama ukimuona na atarudi ni ujuha, nyimbo ambayo Haina hata Promo na imetolewa zaidi ya miaka 6 iliyopita tena ikiwa hata haijaisha (ilivuja ) huwezi linganisha na hiyo nyimbo ya Kondeboy
 
una haki pia ya kutoa maoni
 
Wabongo ni wanafiki sana.
Yaani mnampa kichwa jamaa ili ajitoa wcb wakati mnajua kabisa akitoka anapoteza zaidi ya nusu ya mashabiki...

Kweli bongo nyoso
Nusu tu mkuu?
Hata mimi sitakua shabiki yake tena maana ameanza ushenzi wa kusifia hovyo
 
Wabongo ni wanafiki sana.
Yaani mnampa kichwa jamaa ili ajitoa wcb wakati mnajua kabisa akitoka anapoteza zaidi ya nusu ya mashabiki...

Kweli bongo nyoso
Kenya na South Sudan hawaijuw iyo wcb
 
Samaki hawezi ku survive nje ya maji..WCB ni kama maji na harmonize ni samaki..nje ya wasafi hatutachelewa kuambizana kutoa michango amelemazwa Muhimbili hana hela ya kuongezwa maji baada ya homa kupanda ghafla.
 
milion 300 ndogo?
 
Wat
Wabongo ni wanafiki sana.
Yaani mnampa kichwa jamaa ili ajitoa wcb wakati mnajua kabisa akitoka anapoteza zaidi ya nusu ya mashabiki...

Kweli bongo nyoso
Watakua wa kwanza kumnanga hapa akifeli.Unafki ni kipaji na sisi wabongo tumejaaliwa
 
ukichunguza nyimbo zao toka mwaka jana hadi leo,utagundua harmonise anaandika vizuri kuliko domo na lavalava..domo anaungaunga tu maneno
Tatizo si kuandika tatizo ni vibe na soko I mean unauzika unapata show?? Kuna kujua na connection...benpol belle9 mavoko wanajua ila hawana connection.Domo weekly show 2 au 3 ndani na nje...anapanda ndege kama daladala...ngoja tusubirie tuone konde gangiitafika wapi...
 
Sishangai kwanini unajiita dependent
 
hizo habari feki, diamond mwenyewe hana gari ya milioni 50, hayo magar ya kuazima show room baada ya sherehe wanayarudisha, hiyo michezo tunaijua sana, hiyo gari diamond hana hela ya kununua
Naendelea kulichunguza hili aiseeee Laki Si Pesa
 
hizo habari feki, diamond mwenyewe hana gari ya milioni 50, hayo magar ya kuazima show room baada ya sherehe wanayarudisha, hiyo michezo tunaijua sana, hiyo gari diamond hana hela ya kununua
Nimegundua wewe jamaaa humkubali mond yawezekana una chuki binafsi kwan bei gani gari BMWX6 kwa wasanii bongo nasikia wanayo wawili diamond platnumz na masanja..masudi kipanya anasukuma hammer ndo king wa kumiliki gari bei mbaya kwa celebrities
 
BMWX6 gari ya kawaida haina bei mbaya hata milion 30 unapata, anayo na prado ya kizamani, mwana bongo fleva mwenye gar ya maana ni lady jadee anayo VOGUE SPORT, hata kipanya hamer yake ya bei mbaya, diamond show off tu hana kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…